Natafuta mume

Mama ungeweka nasifa za moyon sasa, izo za nje wanaume hua hawazioi !!

Maana una elimu/kazi lkn atakukuta una tabia mbovu mbovu tu ... Huon ni tatizo??? .

Alafu kama nimimi Umeshafel,, Haiwezekan mwanamke Humjui Mungu... Ungemchomekea tu hata km humjui.
 
Mengine tutarekebishana ...kama kanisani tutapelekana , tabia tutarekebisha
 
kitendo cha kupewa mimba na kuzaa then divoced!! ni ishara you have problem somewhere!! so hatutaki used cc na bachelor zetu bhana!! umeona wapi mechi kabla haijaanza mwenzio tayari kashashinda goli moja!!!
hatutaki useddddd
 
Ha ha ha hapana kwakweli

eeh wee wataka mwenye degree. wewe nikwambie chanzo kikubwa cha matatizo ndani ya ndoa ni ukosefu wa pesa ....na kukosa degree hakujawahi kuwa chanzo cha ndoa kulegalega.
wee tafuta msukuma mgegedaji mzuri na mwenye mihela maisha yanaenda. degree karatasi bwana muulize billgates na jamaa wa facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…