Natafuta mume

Acha nijihakiki kwanza ila hapokwenye Rangi nishaumia

Umri wako huo nao bado sogea sogea mbele kidogo

26 ni pasua kichwa sana..atleast ufike 28 hv ndio wale wadudu kuwasha washa huko kichwani wanakuaga wameanza pungua

Hata hivyo nishajiona sienei kwenye hiyo rambo.
 
Sawa basi subiri niwe mkubwa
 
Duuuuuu!! Kazi ipo
 
Hivi watu wana matatizo gani? Mtu anashindwa nini kwenda PM moja kwa moja hadi anakuja kuandika kwenye comments eti 'njoo PM' mnaboa kishenzi.
 
MI nashangaa sana,tena nashindwa kuelewa
Hivi watu wana matatizo gani? Mtu anashindwa nini kwenda PM moja kwa moja hadi anakuja kuandika kwenye comments eti 'njoo PM' mnaboa kishenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…