Natafuta mume

Kwa kweli aiseee. Pole yetu sote
 
FYI I am above 30 years old.

I am done talking as ain't good in arguing.....
 
26 jioni!?.
Kuwa serious brother [emoji3]
 
…Mkuu kama hauna kitu positive don't waste your time kuandika nonsense!
it may sound nonsensical to you just like how your previous comment sounds nonsensical to me.
...na msemo wako huo wa old Cargos..sio vizuri una kejeli kwa wadada wenye umri mkubwa! nakuuliza katika ukoo wako wote hakuna hao ''old Cargos''..au ungependa kuona dada zako wakiitwa hivyo??
there are old cargos too in my genetic siblings, nothing changes actually when it comes to referring them
 
it may sound nonsensical to you just like how your previous comment sounds nonsensical to me. there are old cargos too in my genetic siblings, nothing changes actually when it comes to referring them

take your bad attitude elsewhere maaaaaaannnnn
 
Kiufupi ni kwamba hiyo miaka 26 kwa mwanamke ni jua la saa kumi.

Kikawaida mpaka kufikia umri huo ilikuwa inatakiwa awe na mchumba tayari na sio ndio kuanza kutafuta.

Hapo sasa hivi alipo ana miaka miwili tu akikosa basi, probability inaanza kupungua na hatimae anaingia rasimi kwenye old cargos gang.
 
Mwenza we acha tu kiranga komooo...... Ibaki kuwa siri ila mume baki nae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sababu ya yule Mangi kweli unamuacha mume boraa
 
They will thank you later bro
 
They want more members in their gang nothing else.

do we get paid to recruit new members into our gang sir???

wanawake wa humu sikilizeni

waleeni watoto wenu vizuri...

Mume akiwa anakupiga,kuku harass..

Unalia mbele ya mtoto wako..

unajionyesha ulivyo hopeless kwenye ndoa na familia yako..

Mtoto anajifunza..

kumbe kuna surbodinate katika jamii

wanawake ni of lower class..

nyie watu wa hivi hamuwezi kuficha how maladjusted you are.

poleni,

.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sababu ya yule Mangi kweli unamuacha mume boraa
Hahahahahahahah noo mamaaaa noooo sio hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…