Natafuta mume

Natafuta mume

Mshahara, ushaisha tangu siku naenda kuuchukua,[emoji3] [emoji3] , si wajua tena yale mambo ya Mangi nipe kitu Fulani na flani,ntakuona mwisho wa mwezii[emoji30]

Mshahara bana unakuja taratibuu kama Kobe ,ila unaondoka faster Kwa speed ya swala[emoji3]
Kwa kweli aiseee. Pole yetu sote
 
mnhhhhh you dont want to comment on old cargos and yet unauliza kama sio old cargos kweli??....baba kuwa moto au baridi sio vugu vugu ...

Kama hukunielewa nilikua namaanisha she still have time..plenty of time actually!..and yes zeshchriss usiwe pressurized into marriage....marriage is a lifetime commitment..one mistake one goal......take your time mamiii..

wewe unayeona 26 ni mkubwa nataka kujua umri wako,utakua chini ya miaka hio 26 labda...

kisha kama sikosei niliona mahali umri wa ndoa inayodumu ni miaka 28-32 years..

nitatafuta baadae nililete hapa hio habari
FYI I am above 30 years old.

I am done talking as ain't good in arguing.....
 
What he wrote is very positive, miaka 26 huoni kwamba kwa mwanamke ni jioni tena hiyo akizidi kuchelewa jua litazama soon.

I don't wanna comment about old cargos, lakini kwani sio old cargos kweli???

Zeshchriss, your time is now. I mean now not even tomorrow, chelewa chelewa nawe jina lije likusibu
26 jioni!?.
Kuwa serious brother [emoji3]
 
…Mkuu kama hauna kitu positive don't waste your time kuandika nonsense!
it may sound nonsensical to you just like how your previous comment sounds nonsensical to me.
...na msemo wako huo wa old Cargos..sio vizuri una kejeli kwa wadada wenye umri mkubwa! nakuuliza katika ukoo wako wote hakuna hao ''old Cargos''..au ungependa kuona dada zako wakiitwa hivyo??
there are old cargos too in my genetic siblings, nothing changes actually when it comes to referring them
eti tunafanya juhudi kuongeza wanachama??!!! what nonsense??? ili iweje ?? for what???
inatakiwa hili swali nikuulize mimi kwanini unampoteza maboya kwa kumpa ushauri mbuzi kama kweli hutaki na yeye huko ajiunge na Old cargos gang baada ya kuwa amekosa potential suitor?
@Zechriss nilikua namaanisha you still have time,usipanick ukapata mwenza asie na vigezo vyako,sijasema uache kutafuta,bali tafuta ukijua you have time..so dont settle for less..!!
Sasa hiki ndio ulitakiwa kusema tangu mwanzo
 
it may sound nonsensical to you just like how your previous comment sounds nonsensical to me. there are old cargos too in my genetic siblings, nothing changes actually when it comes to referring them

take your bad attitude elsewhere maaaaaaannnnn
 
What he wrote is very positive, miaka 26 huoni kwamba kwa mwanamke ni jioni tena hiyo akizidi kuchelewa jua litazama soon.

I don't wanna comment about old cargos, lakini kwani sio old cargos kweli???

Zeshchriss, your time is now. I mean now not even tomorrow, chelewa chelewa nawe jina lije likusibu
Kiufupi ni kwamba hiyo miaka 26 kwa mwanamke ni jua la saa kumi.

Kikawaida mpaka kufikia umri huo ilikuwa inatakiwa awe na mchumba tayari na sio ndio kuanza kutafuta.

Hapo sasa hivi alipo ana miaka miwili tu akikosa basi, probability inaanza kupungua na hatimae anaingia rasimi kwenye old cargos gang.
 
Mwenza we acha tu kiranga komooo...... Ibaki kuwa siri ila mume baki nae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sababu ya yule Mangi kweli unamuacha mume boraa
 
Kiufupi ni kwamba hiyo miaka 26 kwa mwanamke ni jua la saa kumi.

Kikawaida mpaka kufikia umri huo ilikuwa inatakiwa awe na mchumba tayari na sio ndio kuanza kutafuta.

Hapo sasa hivi alipo ana miaka miwili tu akikosa basi, probability inaanza kupungua na hatimae anaingia rasimi kwenye old cargos gang.
They will thank you later bro
 
They want more members in their gang nothing else.

do we get paid to recruit new members into our gang sir???

wanawake wa humu sikilizeni

waleeni watoto wenu vizuri...

Mume akiwa anakupiga,kuku harass..

Unalia mbele ya mtoto wako..

unajionyesha ulivyo hopeless kwenye ndoa na familia yako..

Mtoto anajifunza..

kumbe kuna surbodinate katika jamii

wanawake ni of lower class..

nyie watu wa hivi hamuwezi kuficha how maladjusted you are.

poleni,

.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sababu ya yule Mangi kweli unamuacha mume boraa
Hahahahahahahah noo mamaaaa noooo sio hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom