Natafuta mume

Eti kifo Cha wengi Nini!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe Lizarazu Mungu anakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Una uhakika km anataka wafe wengi!??
Hivi lizarazu una Nini lkn wewe!?
Ndio lengo lake!! Chochote kisichokuwa kizuri kikiwahusu wengi kinakuwa cha kawaida na kikishakuwa cha kawaida, nobody will stress themselves out of it.

Halafu ujifunze kujiongeza kifikra unaposoma kitu sio unaitafsiri kama ulivyoisoma.
 
Nyie Kwanini mkimbilie kumaanisha vitu tofauti na mawazo yake!??
Sio vizuri hivyo Lizarazu
Kwa hiyo Mimi sijui kujiongeza ninaposoma kitu!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunikosea adabu
 
😁😁😁😁😁😁
 
Katibu mkuu wa wadangaji jf, au umeacha udangaji lakini
 
[emoji108][emoji108]
 
You don't get paid by dragging her into your gang but it is just a way of giving yourself a stress relieve.

Asante sana kwa kuwahubiria wenzako huu ujumbe mzuri hapa hasa wale wenye tabia kama ulizozionesha hapa za upotoshaji.
 
Lizarazu stop that please [emoji120][emoji120][emoji120]
 
You don't get paid by dragging her into your gang but it is just a way of giving yourself a stress relieve.

Asante sana kwa kuwahubiria wenzako huu ujumbe mzuri hapa hasa wale wenye tabia kama ulizozionesha hapa za upotoshaji.

stress relief indeed,dont go to work tomorrow..go and sit with loaded individual and you will have money too..

ujumbe umekuuma....this is you!..upotoshaji wangu ni upi..Nyie ambao mko sensitive kila mwanamke anapotajwa lazima mpige chafya ni matatizo ya malezi...kama limekuuma kufa!
 
Nyie Kwanini mkimbilie kumaabisha vitu tofauti na mawazo yake!??
Sio vizuri hivyo Lizarazu
Kwa hiyo Mimi sijui kujiongeza ninaposoma kitu!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunikosea adabu
Basi labda nimekosea kuwasilisha ujumbe, tatizo unasoma vitu na kuvitafsiri kama kilivyo hata kama kipo in metaphoric or figurative form.

Mfano ni hapo niliposema kifo cha wengi umeshindwa kunielewa nini hasa nilichokimaanisha ukihusishanisha na comment niliyoijibu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumwambia mwenzako umri wa 26 ni mdogo kutafuta mchumba ni upotoshaji wa kuwango cha SG.

Kama huoni ule ulikuwa ni upotoshaji una tatizo.

Haya ntakufa kesho basi ufurahi
 
Nimekuelewa vizuri Sana.
Na umemaanisha kwamba huyu Rebeca 83 anataka wawe wengi kwenye kundi la Hilo unaloliita old cargos..
Na hii Ni kutokana na mitazamo yenu kukinzana juu ya huyu binti muanzisha Uzi.
Mimi naona humtendei haki huyo dada,unamkandamiza na SI ajabu lengo lake Sio Hilo unalolisema wewe.
 
Kumwambia mwenzako umri wa 26 ni mdogo kutafuta mchumba ni upotoshaji wa kuwango cha SG.

Kama huoni ule ulikuwa ni upotoshaji una tatizo.

Haya ntakufa kesho basi ufurahi
Nadhani hujamuelewa.
Alichomaanisha yeye Sio asitafute mchumba..Bali awe makini na asiharakie Sana maana ndoa Ni taasisi kubwa na Jambo kubwa hasa kuchagua mtu wa kuishi Naye maisha yake yote.
Nyie mna mawazo sawa,,sema tu hamuelewani
 
Kumwambia mwenzako umri wa 26 ni mdogo kutafuta mchumba ni upotoshaji wa kuwango cha SG.

Kama huoni ule ulikuwa ni upotoshaji una tatizo.

Haya ntakufa kesho basi ufurahi
Wewe maneno huumba.
Usije ukafa kesho kweli[emoji134].
Bado tunahitaji uwepo wako.
 
Kumwambia mwenzako umri wa 26 ni mdogo kutafuta mchumba ni upotoshaji wa kuwango cha SG.

Kama huoni ule ulikuwa ni upotoshaji una tatizo.

Haya ntakufa kesho basi ufurahi

Ningekuletea hio info..ya kundi gani ndoa zao hudumu..ila najua hata ukipewa nini utabisha tuu...

kwa heri ngoja nikalale,siwezi Rebeca kubadilisha mtu alielelewa na kujua miaka yote kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu anayetakiwa kutawaliwa na kuendeshwa kama ng'ombe!

Bye,my last post to you...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…