Natafuta mume

Okay!! Good night to you ms. Rebecca
 
Nadhani hujamuelewa.
Alichomaanisha yeye Sio asitafute mchumba..Bali awe makini na asiharakie Sana maana ndoa Ni taasisi kubwa na Jambo kubwa hasa kuchagua mtu wa kuishi Naye maisha yake yote.
Nyie mna mawazo sawa,,sema tu hamuelewani
Basi ngoja nilale labda kesho nikisoma ntamuelewa vizuri
 
Huu uzi wa linii [emoji23][emoji23][emoji23] shoga angu umepataa?
Santino hebu okota dodo hili
 
Ila we najua sio mwembamba,,

Una neema za Allah [emoji13]
 
Ahahahhaha... Kuna wengine hawafurahishwi na uwepo wangu na hao ndio nataka wafurahi[emoji28]
Usije kufa[emoji26][emoji26]
Nitalia Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kweli dada kalale.,usipoteze muda wako kubishana na huyu kijana.
Huyu atakuchosha bure..maana haelewagi yaani[emoji3]
 
Me nshakusihi, hutaki subiri na wewe ufike 30s ndio utajua.

Mambo mengine sio lazima uelewe ukiwa 20s, unaweza ukaelewa vizuri ukifika 30s pia
 
Usimchanganye zeshchriss katika hili. Mitazamo yetu haikinzani na amejiona muda umefika ndio maana anatafuta mume.

Issue hii imekuja baada ya Rebeca 83 kusema 26 ni mdogo.

Acha upotoshaji kiddo
 
Eti kifo Cha wengi Nini!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe Lizarazu Mungu anakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Una uhakika km anataka wafe wengi!??
Hivi lizarazu una Nini lkn wewe!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katibu mkuu wa wadangaji jf, au umeacha udangaji lakini
Hahahahhahahahaha kile cheo nilistaafu boss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishaokoka kitambo kingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…