APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
Nambie bibieHahaaa, naloliii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nambie bibieHahaaa, naloliii
Kafungue unitag nije kuchangia, hakikisha bebe hayupo humu maana yalonikuta sina hamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio lengo la uzi mpenzi[emoji13][emoji13]Hakyanani ndio maana wengine huwa wanakuja na I'd mpya, uzi sasa hivi una comments 500+ watu wanapiga tu stori
Kupiga stori? Kumbe hukuwa hata unatafuta mume[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio lengo la uzi mpenzi[emoji13][emoji13]
Mambo!Nambie bibie
Kweli kabisa, mwendo wa pesa tu [emoji3] [emoji3]Shwari kabisa Nadhani jina lako na kabila yangu vina uhusiano trna wa vina7
[emoji3][emoji3][emoji3]
Shwari bibie, mzimaMambo!
njoo pm Tutengeneze ColaboKweli kabisa, mwendo wa pesa tu [emoji3] [emoji3]
Jamani nasisitiza mimi ni la saba B na si vinginevyoHapa ndio huwa nachanganyikiwa mtu anaesema ni darasa la saba anaeza andika vizuri kulinganisha na mtu anaejifanya amesoma,
Vitu kama HESHIMA, NIDHAMU, BUSARA ni vitu ambavyo ni bure kabisa kuvipata ila kwa wadada walosoma vinawashinda ndio maana watu wengi wanajiolea hawa hawa wa darasa la saba, magraduates wanabaki tu kupigana majungu kwene social medias huku umri unasonga tu, ikumbukwe kwamba kwa mwanamke getting married is a dream come true...
ALL THE BEST NDUGU....
PESAFafanua: Awe anajua kutumia uanaume wake.