Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nilimaliza lasaba BJamani nasisitiza mimi ni la saba B na si vinginevyo
Utaelewa ile kuwa uyaone, usidhani magorofa.Nikifika 30s nitaelewa Nini vile?[emoji3]
HiLa saba unaandika vizuri hivyo mmh Acha uongo ni mbaya
Acha kunitisha brother.Utaelewa ile kuwa uyaone, usidhani magorofa.
Nimewaza dada huyu anajiamini kaja na ID ileile maana watafuta waume ID ni mpyaMwenzangu, sikuwa natafuta chochote ahahahahahhahahahahaha, watu wenyewe hawa wa kuchomoa betri?
La saba unaandika vizuri hivyo mmh Acha uongo ni mbaya
Jamani anaetafuta mume ni mwanamke....
Mimi ni ke
Hahahahahahahah shaka ondoa mpenzi hakuna bayaKuna mtu ananaibiwa hapa. Ila fresh kila la heri dada zeshchriss
Oooh waoooh wewe ni hasbandi matirio kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] am kamingi piemu
Embu njoo PM.Thubutuuuuu mi mwenyewe diet siiwezi nina litumbo kama mjamzito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]