Natafuta mume

Kafungue unitag nije kuchangia, hakikisha bebe hayupo humu maana yalonikuta sina hamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nami nikafungue uzi.
 
Hakyanani ndio maana wengine huwa wanakuja na I'd mpya, uzi sasa hivi una comments 500+ watu wanapiga tu stori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio lengo la uzi mpenzi[emoji13][emoji13]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio lengo la uzi mpenzi[emoji13][emoji13]
Kupiga stori? Kumbe hukuwa hata unatafuta mume[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hapa ndio huwa nachanganyikiwa mtu anaesema ni darasa la saba anaeza andika vizuri kulinganisha na mtu anaejifanya amesoma,

Vitu kama HESHIMA, NIDHAMU, BUSARA ni vitu ambavyo ni bure kabisa kuvipata ila kwa wadada walosoma vinawashinda ndio maana watu wengi wanajiolea hawa hawa wa darasa la saba, magraduates wanabaki tu kupigana majungu kwene social medias huku umri unasonga tu, ikumbukwe kwamba kwa mwanamke getting married is a dream come true...

ALL THE BEST NDUGU....
 
Jamani nasisitiza mimi ni la saba B na si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…