Hahahahahahahah jamani ndiwooo kaka nimefanya modification, maana iliwachanganya wengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NimerahisishaMie mmojawapo nilikuwa nikitaka kukutag ilikuwa ni lazima niangalie spelling za ID yako mara kumi kumi [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimerahisisha
Hapo kwenye "matako" ungenipata maana mi huwa naangalia makalio.......Salaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
Salaam kwenu.,,

Kwanza ulijificha mtaa gani, siku zote sikuoni huku, bandiko hili hahahahahaha usilichukulie serious bhana
Kwanza ulijificha mtaa gani, siku zote sikuoni huku, bandiko hili hahahahahaha usilichukulie serious bhana
Umeanza lini Kutoa kauli hizi? Hebu nambie umekumbwa na nini
Oooh I think ulikuwa mgonjwa sio?
Ninayo naomba nikupatie tafadhali