Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,963
- 4,027
Uwe unasoma maelezo yote, amesema yeye ana 26 na anaemtafuta awe na 32 +Hujaweka Umri wako... na umri wa umtakae
PM mbona ipo blocked?? wengne tupo serious zaidi yako mama
yaani id zingine hata huwa hazicomment lkn hapa zinacomment. 🤣 🤣 🤣Unafaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
naona uzi unazidi kutembea tu. id nyingine imejiunga tangu 2013 huwa hata haicomment lkn inaulizia pm.Hahahahahahaha babe, umeamua kugonga misumari
Kizuri kula na wenzioyaani id zingine hata huwa hazicomment lkn hapa zinacomment. 🤣 🤣 🤣
jamani huyu ni mke wangu alikuwa anatania tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]naona uzi unazidi kutembea tu. id nyingine imejiunga tangu 2013 huwa hata haicomment lkn inaulizia pm.View attachment 1210515
Salaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
Hahaha usije ukamuua mtoto wa mwanamke mwenzio kwa presha.Mwambie huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]