Natafuta mume

Natafuta mume

PM mbona ipo blocked?? wengne tupo serious zaidi yako mama
 
Unafaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yaani id zingine hata huwa hazicomment lkn hapa zinacomment. 🤣 🤣 🤣

jamani huyu ni mke wangu alikuwa anatania tu.
 
yaani id zingine hata huwa hazicomment lkn hapa zinacomment. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

jamani huyu ni mke wangu alikuwa anatania tu.
Hahahahahahaha babe, umeamua kugonga misumari
 
Hahahahahahaha babe, umeamua kugonga misumari
naona uzi unazidi kutembea tu. id nyingine imejiunga tangu 2013 huwa hata haicomment lkn inaulizia pm.
1568688908685.png
 
PM yako haiko wazi
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]


Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm


Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom