Dear nimekuhamu mno ๐๐๐mdogo wangu Zeshchriss siamini ulicho andika.Njoo uwe mke mwenza mdogo wangu
Una utani sanaNatafuta mke
Sifa zangu
Ni mchamungu,
Rangi yangu n i mweusi
Sina kitambi,
Ninajitambua kuwa mimi ni mwanaume na najua kuutumia vizuri uanaume wangu,
Sifa za mke nimtakae
Mweusi,
Mwembamba,
Asiye na matako makubwa,
Elimu la saba,
Asiye na mtoto.
Huu uzi nadhani ufungwe lengo la mleta mada nishalitimiza.
Nipo nipo cheusi mangala wetuDear nimekuhamu mno [emoji7][emoji7][emoji7]mdogo wangu Zeshchriss siamini ulicho andika.
Usingetaja sehemu.sisi wakusini na dada zetu tunajijua wenyewSongea
Akikataa kwako niko tayari mimi naye tuwe mke mwenza.Nipo nipo cheusi mangala wetu
Nimempa ofa aje awe mke mwenza wanasema kizuri kula na nduguyo ahakikishe tu asinizidi tabia njema
Ina tofauti kubwa sana,Kwamba la saba ya zamani na ya sasa zina utofauti gani ?
Hahahahahaha kabisa mkuu kumbe unajuaZ
Ina tofauti kubwa sana,
Ifungulie uzi wake kisha tutakuja kukupa tofauti zilizopo
Kwa kifupi tu, tuliomaliza 2002 hakukua na mitaala kuchanganywa changanywa pia la saba wa sasa hata kuandika hawajui
Ngoja na sisi tufungue uzi wetu ni mwendo wa mariooHammo vumilieni tu
Salaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
Akikataa kwako niko tayari mimi naye tuwe mke mwenza.
Sasa mbona huji PM wala kufungua PM yako hutaki?Dear nilichoandika kimetoka moyoni, nimechoka kuwa mpweke dada, na Muda wa kuwa na familia umefika
Vibonge onlyHahahahahahhahahahaha marioo tena!!
Nachokiona hapa ww hutafuti mume, Bali Kuna utafiti unaufanyaSalaam kwenu.,,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.
Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26
Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm
Ahsanteni sana
Mungu akupe hitaji la moyo wako upate mume bora,sio bora mume.Dear nilichoandika kimetoka moyoni, nimechoka kuwa mpweke dada, na Muda wa kuwa na familia umefika