Natafuta mume

Natafuta mume

Anamaanisha uwe unautumia ktk ile style wapemba wanaita: HAPA NA PALE NI PALE PALE!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]


Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm


Ahsanteni sana
Kwa sifa za ucha Mungu wa kiislam nafikiri nimekidhi vigezo, mimi ni ustaadh mzuri tu nipo nakusubiri kitambo sana, kama na wewe ni muislam naomba niruhusu nikufate PM
 
Kwa sifa za ucha Mungu wa kiislam nafikiri nimekidhi vigezo, mimi ni ustaadh mzuri tu nipo nakusubiri kitambo sana, kama na wewe ni muislam naomba niruhusu nikufate PM
Karibu
 
Sichangamshi bwana
Shemela huwezi amini moja ya comment nilikuwa nahitaji kuona kwenye uzi huu ni yako kitu gani kimetokea siamini ujue au Zeshchriss ana changamsha tu.
 
Back
Top Bottom