Natafuta mume

Anamaanisha uwe unautumia ktk ile style wapemba wanaita: HAPA NA PALE NI PALE PALE!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa sifa za ucha Mungu wa kiislam nafikiri nimekidhi vigezo, mimi ni ustaadh mzuri tu nipo nakusubiri kitambo sana, kama na wewe ni muislam naomba niruhusu nikufate PM
 
Kwa sifa za ucha Mungu wa kiislam nafikiri nimekidhi vigezo, mimi ni ustaadh mzuri tu nipo nakusubiri kitambo sana, kama na wewe ni muislam naomba niruhusu nikufate PM
Karibu
 
Jamaniiii[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29] hivi ujuwe nipo serious sitanii etiii..... Natafuta mume
[emoji23][emoji23][emoji23]acha ufwalaa
 
Sichangamshi bwana
Shemela huwezi amini moja ya comment nilikuwa nahitaji kuona kwenye uzi huu ni yako kitu gani kimetokea siamini ujue au Zeshchriss ana changamsha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…