Natafuta mume

Natafuta mume

Waambie wanavyokuja pm watume na picha zao kabisa ili iwe rahisi kufanya shortlist
 
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]

Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm

Ahsanteni sana
Vipi 0713 inatumika?
 
Njoo pm tujengane
 
Ndo nafungua mda huu JF
nakutana tangazo lina post #259

Ni kama siamini hivi au acc imeingiliwa na waharifu!!

Haya mtani kila lilojema kwako!
 
Huyu sio la Saba amesoma sana so wanaume wanamuogopa au anataka wa kumuendesha yeye aina za wanawake wasomi wajanja wajanja sana... Atakayempata kama amepigika kimaisha ataenjoy na kunung'unika kwa Pamoja...

Nina Girlfriend wangu kila nikifanya kitu anakipinga pinga au kukikosoa as if yeye mjuaji zaidi, na anataka yeye ndio asikilizwe na aelekeze so ukimkubalia anakuwa happy na ukikaza ni ananuna tu namvutia pumzi tu kuna rafiki yake akiingia king nitampiga down
 
Looh sala zangu zimejibiwa. Welcome Prime Minister!
 
Back
Top Bottom