Natafuta mume

Natafuta mume

Ushapata mume au bado?? Nko nasubiria mrejesho wako!!!

Note, nami natafuta mke...
 
Salaam kwenu.,,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambae atakuja kuwa mume wangu.
Vigezo ;
Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele,
Asiwe na kitambi,
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake,
Elimu yoyote Ile, [emoji23][emoji23][emoji23]


Sifa za mimi:
Mweusi,
Mwembamba,
Sina matako makubwa,
Elimu la saba,
Sina mtoto.

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje pm


Ahsanteni sana
natamani nikuone niongee na wewe ....
 
Tako HUNA au sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


JF mm sihami ng'oooo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom