Moshi mweusi
Member
- Sep 12, 2019
- 59
- 64
Hahahh acha nicheke kwanzaKwa hapa jf wanawake niliowatongoza naona cha kwanza ni kutuma nahli ya laki....sasa kula mbususu sijui itaku laki tatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana... wapo wanakula bure😂Kwa hapa jf wanawake niliowatongoza naona cha kwanza ni kutuma nahli ya laki....sasa kula mbususu sijui itaku laki tatu🤣🤣🤣🤣
Mzazi akiwa singo maza, sio sababu ya mtoto wa singo maza na yeye kupenda kuoa singo maza.Sio kila single mama ameachwa wengine wameacha kwa kushindwa kuvumilia manyanyaso wa wazazi wenzao
Alafu wanaotukana ukute walizaliwa nje ya ndoa na wazazi wao walikuwa single mama
Unaonekana akili zako hazina akiliKwani aliemvulia nguo na kupanua mapaja kwa huyo mwanaume wa manyanyaso ni nani ?! Si huyo single mother, kumbe hana utashi kamili kwanini akapanue mapaja kwa mwanaume "asie mfahamu vizuri" kama sio umalaya ni nini.
Lkn msiwahukumu watu bila kujua yaliyowakuta wapo wengi wanafurahia ndoazao na single mama haohao mnawananga,Dada hivi unadhani nini wanachokikataa wanaume!? Unadhan ni mtoto? Au majukumu?
Hakuna mwanaume anaekimbia au kukwepa majukumu
Na kama yupo bas huyo sio mwanaume kamili
Because....man should face majukumu yake
Tunachokimbia ni.......
Hongera sana, sio pekeyako, kuna wengi sana wanataman kuweka habari kama hii, lakini wanaona aibu, ingawa kimsingi wako wanatafuta wake au waume.Natafuta mwanaume serious ambae atakuja Kua mume wangu WA ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea..awe mkristo dheebu lolote .umri wangu NI miaka 33 mjasiriamali na Nina mtoto mmoja...km upo serious njoo pm mengine tutaelezana uko
KWani anaenda kuongezeka, yey atakuwa anamsubiri?Nenda kaongezeke kidogo[emoji1]
Kigezo cha umri amekitoa kabisa..
Hamna lolote kula mtotonwa jf ujipange. Mbussu high class hapa jfPole sana... wapo wanakula bure😂
Ohooo shauri 'ako 😂Hamna lolote kula mtotonwa jf ujipange. Mbussu high class hapa jf
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]sana mzee nakazia mzee #respect na namuomba Liverpool VPN aseme kitu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee siyo wote vijana humu kusema tuna stress wengine ni watu wazima tumeona na tunazidi kuona namna jinsia pinzani inavyozidi kuchanganyikiwa.
Unakuta huyu alikuwa na mtu anampigia mpaka magoti amuowe Ila kwa sababu wakati huo alikuwa kigori na mdau anaonekana hela hatapata leo akampa sh*t walioonekana classic kwa akili yake ndo wakamgeuza single mama then leo yupo aged 33 red light ishawaka anatafuta wa kumvurugia maisha.
Hatutakubali na kijana yeyote JF atakaefanya ujinga wa kuowa hawa watu pamoja na kelele zote tunazopiga humu basi maisha yake yote asije kukaa akasema mbona sikuambiwa.
babazenu wa kambo mbna walioa single maza lknMzazi akiwa singo maza, sio sababu ya mtoto wa singo maza na yeye kupenda kuoa singo maza.
Mabinti wengi ni wazembe wanakuwa masingo maza kwa kujitakia halafu wakishakuwa masingo maza hawataki tuwapopoe yaani singo maza aolewe tu easy wakati baba mzazi wa mtoto yuko hai.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeongea kwa uchungu mno wamekuelewaMzee siyo wote vijana humu kusema tuna stress wengine ni watu wazima tumeona na tunazidi kuona namna jinsia pinzani inavyozidi kuchanganyikiwa.
Unakuta huyu alikuwa na mtu anampigia mpaka magoti amuowe Ila kwa sababu wakati huo alikuwa kigori na mdau anaonekana hela hatapata leo akampa sh*t walioonekana classic kwa akili yake ndo wakamgeuza single mama then leo yupo aged 33 red light ishawaka anatafuta wa kumvurugia maisha.
Hatutakubali na kijana yeyote JF atakaefanya ujinga wa kuowa hawa watu pamoja na kelele zote tunazopiga humu basi maisha yake yote asije kukaa akasema mbona sikuambiwa.
Hatutaki achangie atatuvuruga [emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]sana mzee nakazia mzee #respect na namuomba Liverpool VPN aseme kitu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
sana mzee nakazia mzee #respect na namuomba Liverpool VPN aseme kitu hapa
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]sana mzee nakazia mzee #respect na namuomba Liverpool VPN aseme kitu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kuoa singo maza wala sio tatizo, tatizo ni baba mzazi wa mtoto akiwa hai.babazenu wa kambo mbna walioa single maza lkn
Mnajitoa ufahamu Sana usikute wwngine mmekamatwa na masingle maza hta hamfurukuti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkija ooh single maza baba wa mtoto na wakat ndo nyie babazao wa kambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]