Natafuta mume

Natafuta mume

Sio kila single mama ameachwa wengine wameacha kwa kushindwa kuvumilia manyanyaso wa wazazi wenzao

Alafu wanaotukana ukute walizaliwa nje ya ndoa na wazazi wao walikuwa single mama
Mzazi akiwa singo maza, sio sababu ya mtoto wa singo maza na yeye kupenda kuoa singo maza.

Mabinti wengi ni wazembe wanakuwa masingo maza kwa kujitakia halafu wakishakuwa masingo maza hawataki tuwapopoe yaani singo maza aolewe tu easy wakati baba mzazi wa mtoto yuko hai.
 
Kwani aliemvulia nguo na kupanua mapaja kwa huyo mwanaume wa manyanyaso ni nani ?! Si huyo single mother, kumbe hana utashi kamili kwanini akapanue mapaja kwa mwanaume "asie mfahamu vizuri" kama sio umalaya ni nini.
Unaonekana akili zako hazina akili
Kwaiyo na wanaoana na ndoa zinavunjika wote wanakuwa hawana akili au kunaupnde unakuwa hauko sawa na je unajua sabbu ya kuwa single mama

Kwaiyo kuwa single mama ni umalaya aisee bado hujawa mwanaume wew una uvulana
 
Dada hivi unadhani nini wanachokikataa wanaume!? Unadhan ni mtoto? Au majukumu?

Hakuna mwanaume anaekimbia au kukwepa majukumu
Na kama yupo bas huyo sio mwanaume kamili
Because....man should face majukumu yake

Tunachokimbia ni.......
Lkn msiwahukumu watu bila kujua yaliyowakuta wapo wengi wanafurahia ndoazao na single mama haohao mnawananga,

Kama hauna uhitaji kaa kimya wenye uhitaji watawapenda
Kilamtu kaumbiwa wake kma sio type zenu msiwachafue kwa Mambo ya kusadikika et kurudiana na mwanaume wake vipi na wanawake wanaolea watoto zenu mliozaa nje???
 
Natafuta mwanaume serious ambae atakuja Kua mume wangu WA ndoa awe na umr kuanzia miaka 33 nakuendelea..awe mkristo dheebu lolote .umri wangu NI miaka 33 mjasiriamali na Nina mtoto mmoja...km upo serious njoo pm mengine tutaelezana uko
Hongera sana, sio pekeyako, kuna wengi sana wanataman kuweka habari kama hii, lakini wanaona aibu, ingawa kimsingi wako wanatafuta wake au waume.
 
Mnatutafuta maneno nyie single mother afu mnaanza kulalamika kwan family planning hamzijui???
 
Watoto baraka haijalishi umepata kwenye mazingiragani kunawatu wnakesha kwenye maombi Hadi kwa waganga kutafuta watoto wanatoa na makafara

kuwa single mama kusikufanye ujisikie vibaya kwa comment za humu hakuna anaejua ulichopitia kunawatu wapo kwenye ndoa wanatamni hata period ya mwez iwapite na kunawanaume wanatamni wakezao wasema wamepitisha mwez hawajableed

Mungu atakubariki tu utapata mnaendana na mtafunga ndoa na uyo mtoto atakuwa faraja yenu
sida kab
 
Mzee siyo wote vijana humu kusema tuna stress wengine ni watu wazima tumeona na tunazidi kuona namna jinsia pinzani inavyozidi kuchanganyikiwa.

Unakuta huyu alikuwa na mtu anampigia mpaka magoti amuowe Ila kwa sababu wakati huo alikuwa kigori na mdau anaonekana hela hatapata leo akampa sh*t walioonekana classic kwa akili yake ndo wakamgeuza single mama then leo yupo aged 33 red light ishawaka anatafuta wa kumvurugia maisha.

Hatutakubali na kijana yeyote JF atakaefanya ujinga wa kuowa hawa watu pamoja na kelele zote tunazopiga humu basi maisha yake yote asije kukaa akasema mbona sikuambiwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]sana mzee nakazia mzee #respect na namuomba Liverpool VPN aseme kitu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mzazi akiwa singo maza, sio sababu ya mtoto wa singo maza na yeye kupenda kuoa singo maza.

Mabinti wengi ni wazembe wanakuwa masingo maza kwa kujitakia halafu wakishakuwa masingo maza hawataki tuwapopoe yaani singo maza aolewe tu easy wakati baba mzazi wa mtoto yuko hai.
babazenu wa kambo mbna walioa single maza lkn
Mnajitoa ufahamu Sana usikute wwngine mmekamatwa na masingle maza hta hamfurukuti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkija ooh single maza baba wa mtoto na wakat ndo nyie babazao wa kambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee siyo wote vijana humu kusema tuna stress wengine ni watu wazima tumeona na tunazidi kuona namna jinsia pinzani inavyozidi kuchanganyikiwa.

Unakuta huyu alikuwa na mtu anampigia mpaka magoti amuowe Ila kwa sababu wakati huo alikuwa kigori na mdau anaonekana hela hatapata leo akampa sh*t walioonekana classic kwa akili yake ndo wakamgeuza single mama then leo yupo aged 33 red light ishawaka anatafuta wa kumvurugia maisha.

Hatutakubali na kijana yeyote JF atakaefanya ujinga wa kuowa hawa watu pamoja na kelele zote tunazopiga humu basi maisha yake yote asije kukaa akasema mbona sikuambiwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]umeongea kwa uchungu mno wamekuelewa
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji119.png
emoji119.png
emoji119.png
emoji119.png
emoji119.png
sana mzee nakazia mzee #respect na namuomba Liverpool VPN aseme kitu hapa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]sana mzee nakazia mzee #respect na namuomba Liverpool VPN aseme kitu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

Amesema ""Nina mtoto mmoja""
Tumuulize baba yake mtoto yuko wapi?

#YNWA
 
babazenu wa kambo mbna walioa single maza lkn
Mnajitoa ufahamu Sana usikute wwngine mmekamatwa na masingle maza hta hamfurukuti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkija ooh single maza baba wa mtoto na wakat ndo nyie babazao wa kambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuoa singo maza wala sio tatizo, tatizo ni baba mzazi wa mtoto akiwa hai.
 
Back
Top Bottom