PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Ninampongeza aliyeshinda hili shindano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninampongeza aliyeshinda hili shindano
Sijampata
Fetty unaonekana mzuri.
Ila ngoja kwanza tuwashtue wenye uhitaji
Mzee wa Njunju njoo huku Dada Fetty anataka Mume
Kila la Kheri
Tatizo tukija mnaanza maswali ya kitoto badala ya kutuachia tunda tupime kina na mvuto wa nyonyo!
Kwanini huwezi kutulia tu ukajieleza vizuri ukaeleweka mbona unaandika Kama unakimbizwa vile?
Anyways,kila la heri zako.
Heshima ni kitu ambacho unakuwa namipaka nauelewa huyu ni mtu wa muhimu kwangu so yale mazoea mabaya unatakiwa uache umenielewa uwe mwanaume unayejitambua madhani umenielewa
Sio kila mtu unaweza muelewa jinsi anavyoishi
Njoo pm kama bado hujapata ila uweke akilini kabisa kuwa ntakuomba Mbususu kabla ya chochote kufanyika.
@sweat candy karibu pm
Kweli wamejitokeza ila hawana uhuru.
Wengine wanaonekana ni wanaume za watu ufree haupo .
Nikweli ila ndio nimeshasema kama umeoa usije humu shida huwaga nini??
Ila kililika
Njoo kwangu niko single na free pia.
Sikuona tangazo lako, njoo PM.
Kati yao wapo single ila nao wanakupima hivyo mnapimana
Ni ndoto ya kila mwanaume, namimi nikiwemo kumuita mkewe jina kama"SweetyCandy". Njoo kwangu mama
Nisingetoa bango
[emoji3][emoji3][emoji3] pengine wako night shift vitengo nyeti
Na kweli nyeti
Ndo soko lako Mama, ni sawa na useme nauza nyama ya Kuku, wanakuja wala kuku, wewe unasema nataka Vegan au Vegeterian, hao hawali nyama.
Ni sawa lakini si kwa majina halisi.. Yaani nao wana mashaka! Mimi naweza kukuamini lakini kiuhalisia wengi wamejawa na mashaka!
Kuna watu walishatangaza wako single hapa na wakapata wapenzi kumbe wenza wao wamesafiri mbali kikazi
Ndo soko lake, Hakuna Kijana rijali ambaye ajaoa atapoteza mda wa kum PM mwanamke anayetafuta mwanaume online, kichaa peke yake.
Wazee wenzake wote washaoa, hao ndo watamtamani, sasa yeye alijidai hataki kuolewa wakati wa umri wake, anakuja kupangia watu.
Hata kwenye biashara hatuuzi tu kama hakuna wateja, tunabadili strategies, tunahamisha biashara au tunashusha bei.
Ukiona waume za watu tu ndo wanakufuata, tafuta limoja lisilojielewa farakanisha ndoa yake likuoe.
I have a story to tell lakini sio sasa...! Sio leo..!
IlA si wAmepata lakini
Ukiwa tayari ni tag
Wadangaji walikutana
Hivi kaka ile story yako ya Mam mkwe ilikuwa ya kweli? Kila nikikumbuka nacheka.
Wewe mchana wote umeshindwa kupiga simu mpaka upige usiku
Kuna manzi tuliachana same day baada ya kumpiga sound akajaa mchana tukapiga story Safi kabisa bila matatizo kumbe akawa anasubiri usiku uingie apige simu akapiga call za kawaida sikupokea mpaka WhatsApp video nikagoma kupokea
Ndio ukawa mwisho wetu huo namuuliza shida nini ooh usiku haupokei simu unakua na nani?
Maswali gani hayo kwani mchana hatuwezi kuongea mpaka tuongee usiku tu?
Hamjui mapenzi nyie sio waaminifu
Sasa ndio uvizie usiku utake kuongea na simu yaan usiku tu ndio nataka kuongea nikupigie nataka kuongea nikupigie yaan mchana kutwa upo busy huko hupigi simu usiku unataka kupiga simu nshachoka Mimi unataka kunipigisha story zako piga asubuhi tukiamka sio usiku
sweetycandy mke wangu njoo DM tumalize hili swala
tatizo linaanzia kwenye jina,hilo jina lilikataliwa kwenye kikao cha mwezi wa 7 Equation x hili jina si lipo ktk list?
Hilo jina inabidi akawalaumu waliompatia; lasivyo watoto wote watawalaumu wazazi wao kwa kuwapatia majina yasiyopendeza.
Ila anafaa kuwa mke, chukua chuma hicho.
Daaah hili andika lipo kimasihara zaid,uko tyr kuwa mke wa pili!? Maana wenye mapenz na kuoa ni wale waliopo ktk ndoa tyr!? Lkn hawa vijana utakwama maana wana kampeni ya KATAA NDOA hivyo jipange dada! Japo taarifa zako hazijakamilika vzurWasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.
Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu
Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo.
Siku njema
====
Mrejesho wa kutafuta mume