Natafuta mume

Natafuta mume

Nisingetoa bango

[emoji3][emoji3][emoji3] pengine wako night shift vitengo nyeti

Na kweli nyeti

Ndo soko lako Mama, ni sawa na useme nauza nyama ya Kuku, wanakuja wala kuku, wewe unasema nataka Vegan au Vegeterian, hao hawali nyama.

Ni sawa lakini si kwa majina halisi.. Yaani nao wana mashaka! Mimi naweza kukuamini lakini kiuhalisia wengi wamejawa na mashaka!
Kuna watu walishatangaza wako single hapa na wakapata wapenzi kumbe wenza wao wamesafiri mbali kikazi

Ndo soko lake, Hakuna Kijana rijali ambaye ajaoa atapoteza mda wa kum PM mwanamke anayetafuta mwanaume online, kichaa peke yake.

Wazee wenzake wote washaoa, hao ndo watamtamani, sasa yeye alijidai hataki kuolewa wakati wa umri wake, anakuja kupangia watu.

Hata kwenye biashara hatuuzi tu kama hakuna wateja, tunabadili strategies, tunahamisha biashara au tunashusha bei.

Ukiona waume za watu tu ndo wanakufuata, tafuta limoja lisilojielewa farakanisha ndoa yake likuoe.

I have a story to tell lakini sio sasa...! Sio leo..!

IlA si wAmepata lakini

Ukiwa tayari ni tag

Wadangaji walikutana

Hivi kaka ile story yako ya Mam mkwe ilikuwa ya kweli? Kila nikikumbuka nacheka.

Wewe mchana wote umeshindwa kupiga simu mpaka upige usiku

Kuna manzi tuliachana same day baada ya kumpiga sound akajaa mchana tukapiga story Safi kabisa bila matatizo kumbe akawa anasubiri usiku uingie apige simu akapiga call za kawaida sikupokea mpaka WhatsApp video nikagoma kupokea

Ndio ukawa mwisho wetu huo namuuliza shida nini ooh usiku haupokei simu unakua na nani?

Maswali gani hayo kwani mchana hatuwezi kuongea mpaka tuongee usiku tu?

Hamjui mapenzi nyie sio waaminifu

Sasa ndio uvizie usiku utake kuongea na simu yaan usiku tu ndio nataka kuongea nikupigie nataka kuongea nikupigie yaan mchana kutwa upo busy huko hupigi simu usiku unataka kupiga simu nshachoka Mimi unataka kunipigisha story zako piga asubuhi tukiamka sio usiku

sweetycandy mke wangu njoo DM tumalize hili swala

tatizo linaanzia kwenye jina,hilo jina lilikataliwa kwenye kikao cha mwezi wa 7 Equation x hili jina si lipo ktk list?

Hilo jina inabidi akawalaumu waliompatia; lasivyo watoto wote watawalaumu wazazi wao kwa kuwapatia majina yasiyopendeza.
Ila anafaa kuwa mke, chukua chuma hicho.​
 
Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.

Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu

Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo.

Siku njema

====

Mrejesho wa kutafuta mume
Daaah hili andika lipo kimasihara zaid,uko tyr kuwa mke wa pili!? Maana wenye mapenz na kuoa ni wale waliopo ktk ndoa tyr!? Lkn hawa vijana utakwama maana wana kampeni ya KATAA NDOA hivyo jipange dada! Japo taarifa zako hazijakamilika vzur
 
Back
Top Bottom