Natafuta mume

𝑫𝒂𝒅𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒔𝒉𝒂𝒎𝒑𝒂𝒕𝒂 𝒊𝒍𝒊 𝒕𝒖𝒇𝒖𝒏𝒈𝒊𝒆 𝒎𝒋𝒂𝒅𝒂𝒍𝒂 𝒉𝒂𝒑𝒂?
 
Watu mko na utani na Mungu hamuogopi hata kidogo kwaiyo uko mtaani kwako wamegoma kutongoza wewe uko na umri gan
 
Leo wakuu nasemaga ukweli mie mdada mwenye upendo, heshima na msikivu, mimi sio mrefu ila mie mnene.

Natafuta ideal man wangu humu.

Awe ana sifa hizi
Ambaye ana sauti nzuri
Ambaye anadeka, ana maisha ya kizungu, asiwe mchungu awe anajua majukumu yake kama mwanaume, sio mgumu akiambiwa jambo, awe mwelewa umri wake awe 37 to 39.

Awe ana akili ya maisha asiwe tegemezi mie sipendi mwanaume anayetegemea mwanamke. Nataka ajue anategemewa yeye. Kama baba wafamilia. Ila kusaidiana kupo ila sio hela .

Karibu kama una SIFA HIZO BABE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…