Leo wakuu nasemaga ukweli mie mdada mwenye upendo, heshima na msikivu, mimi sio mrefu ila mie mnene.
Natafuta ideal man wangu humu.
Awe ana sifa hizi
Ambaye ana sauti nzuri
Ambaye anadeka, ana maisha ya kizungu, asiwe mchungu awe anajua majukumu yake kama mwanaume, sio mgumu akiambiwa jambo, awe mwelewa umri wake awe 37 to 39.
Awe ana akili ya maisha asiwe tegemezi mie sipendi mwanaume anayetegemea mwanamke. Nataka ajue anategemewa yeye. Kama baba wafamilia. Ila kusaidiana kupo ila sio hela .
Karibu kama una SIFA HIZO BABE.