Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke hatafuti mwanaume ila mwanaume atakuafuta kutokana na sifa zako kama unafaa kuwa mke maana we hutafuti mume unataka mtu wa kukukwamua kiuchumi baada ya kuona maisha yanaenda kwa kusuasua hivyo unatafuta mtu wa kumtwisha mzigo wa shida ulizo nazo na hapo watajitokeza wakuone unafananaje na utashangaa hawarudi hata wakila mzigo.Leo wakuu nasemaga ukweli mie mdada mwenye upendo, heshima na msikivu, mimi sio mrefu ila mie mnene.
Natafuta ideal man wangu humu.
Awe ana sifa hizi
Ambaye ana sauti nzuri
Ambaye anadeka, ana maisha ya kizungu, asiwe mchungu awe anajua majukumu yake kama mwanaume, sio mgumu akiambiwa jambo, awe mwelewa umri wake awe 37 to 39.
Awe ana akili ya maisha asiwe tegemezi mie sipendi mwanaume anayetegemea mwanamke. Nataka ajue anategemewa yeye. Kama baba wafamilia. Ila kusaidiana kupo ila sio hela .
Karibu kama una SIFA HIZO BABE.
Umemaliza kila kitu [emoji23][emoji120]Mwanamke hatafuti mwanaume ila mwanaume atakuafuta kutokana na sifa zako kama unafaa kuwa mke maana we hutafuti mume unataka mtu wa kukukwamua kiuchumi baada ya kuona maisha yanaenda kwa kusuasua hivyo unatafuta mtu wa kumtwisha mzigo wa shida ulizo nazo na hapo watajitokeza wakuone unafananaje na utashangaa hawarudi hata wakila mzigo.
Huyu aliyeleta mambo ya hela, ametuharibia sana ulimwengu; hakuna hela hakuna mapenziLeo wakuu nasemaga ukweli mie mdada mwenye upendo, heshima na msikivu, mimi sio mrefu ila mie mnene.
Natafuta ideal man wangu humu.
Awe ana sifa hizi
Ambaye ana sauti nzuri
Ambaye anadeka, ana maisha ya kizungu, asiwe mchungu awe anajua majukumu yake kama mwanaume, sio mgumu akiambiwa jambo, awe mwelewa umri wake awe 37 to 39.
Awe ana akili ya maisha asiwe tegemezi mie sipendi mwanaume anayetegemea mwanamke. Nataka ajue anategemewa yeye. Kama baba wafamilia. Ila kusaidiana kupo ila sio hela .
Karibu kama una SIFA HIZO BABE.
Hakuna anaeweza kumkashfu mtu umeona katajwa jina huu ukurasa unajua nini maana ykeMbona unakashifu mtu sana shida nini au unatakaje??
Acha hasira au wewe ni mchina na sijawataka wachinaHakuna anaeweza kumkashfu mtu umeona katajwa jina huu ukurasa unajua nini maana yke
🤣🤣🤣🤣Punguza makasirikoAcha hasira au wewe ni mchina na sijawataka wachina
Aisee mie niko powa na mshukuru Mungu naishi je wewe🤣🤣🤣🤣Punguza makasiriko
Mimi pia na pumua vyema kabisa nishashiba Dona apaAisee mie niko powa na mshukuru Mungu naishi je wewe
Dona na nini mbona hujanialikaMimi pia na pumua vyema kabisa nishashiba Dona apa
Hahahha baada ya kunichamba unataka ualikwe ujipatie Dona lililopikwa na mwanaume utaweza kula ww😂Dona na nini mbona hujanialika
Wewe ndio umeanza hiloHahahha baada ya kunichamba unataka ualikwe ujipatie Dona lililopikwa na mwanaume utaweza kula ww😂
Sawa ilikua mada tumehamia mada yakutaka kula Dona😂Wewe ndio umeanza hilo
Nipo mbali sana kuja kula donaSawa ilikua mada tumehamia mada yakutaka kula Dona😂
Mbali ya wapi tumboniNipo mbali sana kuja kula dona
Hujui JF ni watu wasiojulikana zaidi? Utaweza watu wa fake ID?Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.
Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu
Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo.
Siku njema
====
Mrejesho wa kutafuta mume
😂😂😂😂Hujui JF ni watu wasiojulikana zaidi? Utaweza watu wa fake ID?
Kabisa samahani wewe ni wa mwaka 1880 au 1910 sorry lakiniNilio nao wananitosha