Natafuta mume

Natafuta mume

Leo wakuu nasemaga ukweli mie mdada mwenye upendo, heshima na msikivu, mimi sio mrefu ila mie mnene.

Natafuta ideal man wangu humu.

Awe ana sifa hizi
Ambaye ana sauti nzuri
Ambaye anadeka, ana maisha ya kizungu, asiwe mchungu awe anajua majukumu yake kama mwanaume, sio mgumu akiambiwa jambo, awe mwelewa umri wake awe 37 to 39.

Awe ana akili ya maisha asiwe tegemezi mie sipendi mwanaume anayetegemea mwanamke. Nataka ajue anategemewa yeye. Kama baba wafamilia. Ila kusaidiana kupo ila sio hela .

Karibu kama una SIFA HIZO BABE.
Mwanamke hatafuti mwanaume ila mwanaume atakuafuta kutokana na sifa zako kama unafaa kuwa mke maana we hutafuti mume unataka mtu wa kukukwamua kiuchumi baada ya kuona maisha yanaenda kwa kusuasua hivyo unatafuta mtu wa kumtwisha mzigo wa shida ulizo nazo na hapo watajitokeza wakuone unafananaje na utashangaa hawarudi hata wakila mzigo.
 
Umemaliza kila kitu [emoji23][emoji120]
 
Leo wakuu nasemaga ukweli mie mdada mwenye upendo, heshima na msikivu, mimi sio mrefu ila mie mnene.

Natafuta ideal man wangu humu.

Awe ana sifa hizi
Ambaye ana sauti nzuri
Ambaye anadeka, ana maisha ya kizungu, asiwe mchungu awe anajua majukumu yake kama mwanaume, sio mgumu akiambiwa jambo, awe mwelewa umri wake awe 37 to 39.

Awe ana akili ya maisha asiwe tegemezi mie sipendi mwanaume anayetegemea mwanamke. Nataka ajue anategemewa yeye. Kama baba wafamilia. Ila kusaidiana kupo ila sio hela .

Karibu kama una SIFA HIZO BABE.
Huyu aliyeleta mambo ya hela, ametuharibia sana ulimwengu; hakuna hela hakuna mapenzi
 
Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.

Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu

Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo.

Siku njema

====

Mrejesho wa kutafuta mume
Hujui JF ni watu wasiojulikana zaidi? Utaweza watu wa fake ID?
 
Back
Top Bottom