Natafuta mume

Natafuta mume

Umenifurahisha hii umri haupungui mi mkubwa sasa na napenda kiasi kuwa na mwanaume aliyenizidi umri pia japo ya Mungu ni mengi na yeye ndio mpangaji wa yote
Hapo sawa, kila la kheri Mungu akutimizie hitaji lako rafiki.
 
Sasa huyo Baba wa Mwanao kwanini Usimtafute akalea huyo Mwanao/ mtoto then wewe ukapambana kutafuta Mwanaume peke yako if it Applicable

Mnatafuta wanaume ili muwanyonye na kuwaibia and nothing else ,

Njoo na I'D yako ya zamani kwanza
 
Niliposema baba sikusema aje alipe ada ya mwanangu wala ambebe mwanangu mgongoni wala afanye jukumu lolote linalonihusu aisee as father figure anaweza kumuongoza kwa miongozo ya as yeye ni mwanaume vijana wanahitaji ushauri and staff like that I'm responsible nimelea mwenyewe mtoto wangu when it comes to school fees na kila hitaji lake na sintomuachia mtu yeyote afanye as long as I'm alive hata kama nitafanikiwa kumpata huyo mume as God wish so please if your into my post focus on kile muhimu nilichosema husband thing alafu hayo mengine ya mtoto niachie mie goodday

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.

Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.
Toa wasifu wako
 
JF kuna vijana wanasumbuliwa na barehe na kuna watu wazima hovyo wanaosumbuliwa na stress kwahiyo ukishayajuwa makundi haya unapotezea tu.

Mungu ni mwaminifu atakupa wako ila kuna tatizo kubwa hata walioolewa Sasa hivi wengi hawawaheshimu waume zao Nina ushahidi usiyo na shaka yoyote.

Kupata mwenza si kazi sana Bali kazi kupambana kuitunza ndoa na kuacha mazoea, demand ya mwanaume kwa mwanamke ni sex na heshima tu, ukimantain hivyo hilo ndio limbwata la mwanaume asikudanganye mtu.

Good luck.
 
Mi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.

Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.
Wewe utapata hauna masharti yenye ukakasi Mungu akusaidie
 
Niliposema baba sikusema aje alipe ada ya mwanangu wala ambebe mwanangu mgongoni wala afanye jukumu lolote linalonihusu aisee as father figure anaweza kumuongoza kwa miongozo ya as yeye ni mwanaume vijana wanahitaji ushauri and staff like that I'm responsible nimelea mwenyewe mtoto wangu when it comes to school fees na kila hitaji lake na sintomuachia mtu yeyote afanye as long as I'm alive hata kama nitafanikiwa kumpata huyo mume as God wish so please if your into my post focus on kile muhimu nilichosema husband thing alafu hayo mengine ya mtoto niachie mie goodday

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Guys, what she wants is a husband and a father figure for her bustard son. She doesn't want financial support for her bustard son.

Lakini,.. haya mambo huwa yana complications zake sana. Maana baba wa mtoto bado yupo hai.... kuna ile kupasha kiporo moto...... na kiporo hakihitaji moto mwingi....

Anyways, all the best on your endeavor.
 
Mi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.

Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.
Njoo pm
 
Back
Top Bottom