makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ngoja nimuulize jamaa yangu kama kanzu ya kuolea bado ipo fresh.
Sina umri huo, vipi ruksa?
Sina umri huo, vipi ruksa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa, kila la kheri Mungu akutimizie hitaji lako rafiki.Umenifurahisha hii umri haupungui mi mkubwa sasa na napenda kiasi kuwa na mwanaume aliyenizidi umri pia japo ya Mungu ni mengi na yeye ndio mpangaji wa yote
Aksante sanaHapo sawa, kila la kheri Mungu akutimizie hitaji lako rafiki.
Atunziwe tu mtoto huku yeye ana sifa zote na uhalali wa huyo mwanaoNdio yupo hai
You're....Kwanini your too young au?
Niliposema baba sikusema aje alipe ada ya mwanangu wala ambebe mwanangu mgongoni wala afanye jukumu lolote linalonihusu aisee as father figure anaweza kumuongoza kwa miongozo ya as yeye ni mwanaume vijana wanahitaji ushauri and staff like that I'm responsible nimelea mwenyewe mtoto wangu when it comes to school fees na kila hitaji lake na sintomuachia mtu yeyote afanye as long as I'm alive hata kama nitafanikiwa kumpata huyo mume as God wish so please if your into my post focus on kile muhimu nilichosema husband thing alafu hayo mengine ya mtoto niachie mie gooddaySasa huyo Baba wa Mwanao kwanini Usimtafute akalea huyo Mwanao/ mtoto then wewe ukapambana kutafuta Mwanaume peke yako if it Applicable
Mnatafuta wanaume ili muwanyonye na kuwaibia and nothing else ,
Njoo na I'D yako ya zamani kwanza
Toa wasifu wakoMi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.
Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.
JF kuna vijana wanasumbuliwa na barehe na kuna watu wazima hovyo wanaosumbuliwa na stress kwahiyo ukishayajuwa makundi haya unapotezea tu.Niliposema baba sikusema aje alipe ada ya mwanangu wala ambebe mwanangu mgongoni wala afanye jukumu lolote linalonihusu aisee as father figure anaweza kumuongoza kwa miongozo ya as yeye ni mwanaume vijana wanahitaji ushauri and staff like that I'm responsible nimelea mwenyewe mtoto wangu when it comes to school fees na kila hitaji lake na sintomuachia mtu yeyote afanye as long as I'm alive hata kama nitafanikiwa kumpata huyo mume as God wish so please if your into my post focus on kile muhimu nilichosema husband thing alafu hayo mengine ya mtoto niachie mie goodday
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wewe utapata hauna masharti yenye ukakasi Mungu akusaidieMi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.
Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.
KAMA UNA NIA NAYE UNAKWENDA PM,Toa wasifu wako
Kumbe wewe ndio mleta mada Eeeh!
Guys, what she wants is a husband and a father figure for her bustard son. She doesn't want financial support for her bustard son.Niliposema baba sikusema aje alipe ada ya mwanangu wala ambebe mwanangu mgongoni wala afanye jukumu lolote linalonihusu aisee as father figure anaweza kumuongoza kwa miongozo ya as yeye ni mwanaume vijana wanahitaji ushauri and staff like that I'm responsible nimelea mwenyewe mtoto wangu when it comes to school fees na kila hitaji lake na sintomuachia mtu yeyote afanye as long as I'm alive hata kama nitafanikiwa kumpata huyo mume as God wish so please if your into my post focus on kile muhimu nilichosema husband thing alafu hayo mengine ya mtoto niachie mie goodday
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Njoo pmMi ni mwanamke wa miaka 36, nina mtoto mmoja, natafuta mume mwenye miaka 38- 45 akiwa na watoto sawa, awe tayari kumkubali mwanangu na awe baba kwake nami nitakuwa mama kwa watoto wake.
Sichagui dini, ila awe 'serious' kuishi kwa upendo, siyo kujaribu awe muwajibikaji. Sichagui anafanya kazi wapi, kikubwa anaweza kutunza familia tu.