Natafuta mume

Yani Masters yako ya udaktari wa watoto inaitwa BACHELOR DEGREE YA MEDICINE IN PEDIATRIC

Kweli jioe mwenyewe kama alivyosema mdau...
 
Yani Masters yako ya udaktari wa watoto inaitwa BACHELOR DEGREE YA MEDICINE IN PEDIATRIC

Kweli jioe mwenyewe kama alivyosema mdau...
Niliposema kuna wengine wanatutamanisha tuwaoe pia japo tushapata wenza humu , akina To yeye waliona sina akili .

Ila mimi nilimuonea huruma mtoa mada maana hata kile anachoongea bado hakielewi hivyo anahitaji msaada wa karibu .
 
Mbona umekazania kueleza elimu yako sana?Kwani unamtafuta wa kubalance equations za chemistry?Jieleze ulivyo na mahitaji yako.Elimu achia wahaya.
 
Nitafute nipo Boulder, Colorado. Single, not married no child. +1(720)3169482
 
Wasomi walivyo na dharau hasavwanawake!!!?? Huyo Mume ajipange
huyu hawezi kuwa na dharau coz atakuwa miongoni mwa wale walioambiwa jitahidi kusoma ili elimu ikuongezee kigezo cha kuolewa vinginevyo itakuwa ngumu...,, NAWAZA TU WAKUU.
 

MUNGU AKUTIMIZIE HITAJI LAKO
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mbengo zimefongokaaaaaa
Zimeacheaaaaaa acheeea oooh Ahsandeeeeeeee[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wanawake wakitaka wenye kazi hamtaki mkiambiwa muende mkiwa jobless pia hamtaki😂😂😂😂😂
 
Itakuwa wa huko hawawezi shoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…