Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Yani Masters yako ya udaktari wa watoto inaitwa BACHELOR DEGREE YA MEDICINE IN PEDIATRICNina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialise kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.
Kweli jioe mwenyewe kama alivyosema mdau...