Natafuta mume


Kila la Heri. Urudi tuchangie harusi
 
Mi sijawai amin km mtandaoni unaweza pata mtu sahihi


Km eneo la kazi, mitaa unayokaa, ulikozaliwa umekosa kupata ambako unaona matendo ya wahusika sembuse huku
Kuna mwamba mmoja alipatia mke humu na akaleta mrejesho wa ndoa yake kwamba amefanikiwa kupata mtoto na ndoa yake ina furaha sana.
 
Haaa haaaa
Dada angu Ongezea Sifa , tabia na uwezo wako.
Eg Una watoto wangapi ,?
Wa jamaa mmoja au tofauti?
Picha yako hata nusu umbo tu ili tufanye mkadirio mzuri wa Kazi .
Naja PM chapu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…