Habari wana jf,
Mimi ni mwanamke wenye umri wa miaka 33. Mimi ni kibarua tu wa kiwanda fulani. Nimejitokeza jukwaa hili kutafuta life-mate partner ambaye ana uhitaji kama wangu.
Awe na akili timamu na awe shughuli halali. Umri kuaninzia 34 na kuendelea, awe muwazi na mkweli. Kwa aliye tayari karibu sana sana pm iko wazi.
Asanteni.
Kila la Heri. Urudi tuchangie harusi