Majumba saba
Senior Member
- Feb 1, 2019
- 145
- 610
- Thread starter
-
- #221
Mjinga mwenyewe na ukoo wakoKweli wajinga hii Nchi ni wengi., "awe na mtaji wa kuanzia milion mia" kwani unaolewa na mtaji au unaolewa na mwanaume. Wew hata akija kapuku kama anajielewa olewa naye tu mengine Mungu ataajilia.
Wenye videgree vyetu na mishahara ya kuunga unga ngoja tukae pembeni kwanza..😃Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.
Sifa za mwanaume nimtakaye.
1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.
Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsanteeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiiiiiUduguu sikuweziiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo anazopigwa nazo na hachomoiiii.Hiki chuma apewe Babu Mwehu ndio atawezena nacho
Yaan JF haiboi wala haichoshiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hataree udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo anazopigwa nazo na hachomoiiii.
Wewe nikuachie nani
Kwann nawewe utataka mpaka niwe na mil 100?Mie teeenaa jamani Kigi?!! Huogopi kutapeliwa?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwann nawewe utataka mpaka niwe na mil 100?
Mi niliandaa tu kiuno kama silaha ya vita [emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani hizo 100million huna?!!
Mi niliandaa tu kiuno kama silaha ya vita [emoji12][emoji12]
Kumbe huwa unagegedwa na kujiona wewe ni upo vizuri kwenye migegedo!?6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
Hujasoma namba 6.? nifanyishe mazoezi basi ili nikafaulu interview ya mamilioni.. sitakusahau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaandaa kiuno wewe dancer wa Malaika band?!!
Hapa ni makuta tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]