Natafuta mume

Natafuta mume

Kweli wajinga hii Nchi ni wengi., "awe na mtaji wa kuanzia milion mia" kwani unaolewa na mtaji au unaolewa na mwanaume. Wew hata akija kapuku kama anajielewa olewa naye tu mengine Mungu ataajilia.
Mjinga mwenyewe na ukoo wako
 
Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.

Sifa za mwanaume nimtakaye.

1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.

Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsanteeh
Wenye videgree vyetu na mishahara ya kuunga unga ngoja tukae pembeni kwanza..😃
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo anazopigwa nazo na hachomoiiii.

Safari hii asikubali tutampa mbwinuu ila akikutana na kende kubwa kubwa atajijua mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaa sasa wasiokunywa pombe na kutovuta sigara ndio wasabato
 
SASA HUYO.MWENYE SIFA HIZO NI MUME WA MTU AU SINGLE FARTHER

[emoji1][emoji274][emoji16]
BLAD FUCKING. [emoji116][emoji116][emoji116]
Click
IMG-20230623-WA0000.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaandaa kiuno wewe dancer wa Malaika band?!!

Hapa ni makuta tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujasoma namba 6.? nifanyishe mazoezi basi ili nikafaulu interview ya mamilioni.. sitakusahau
 
Kwamba sisi wasabato tumekukosea nini hadi utukatae mapema kabisa?

Ningekupa kijana wangu ila basi tena!!
 
Back
Top Bottom