Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Utapata kwa vigezo vyako nenda hiteli za 5 star aisee huku wapo wa juu tu ila mmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliye mquote ndiye id mpyaNipo Jf huu mwaka wa nne
Mwanamke akijisifia kujua ku..tomb..ana huwa mzuka unakataUfundi kitandani nani alikuambia upo vizuri?
Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.
Sifa za mwanaume nimtakaye.
1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.
Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsanteeh
Naona umefurahi daka mchuma mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikija pm niite mbwa😂😂Kinacho furahisha ni wanaume kutoka maneno makali halafu mnakuja PM. Contradiction!!!!
Halafu unakuta hamna kituMwanamke akijisifia kujua ku..tomb..ana huwa mzuka unakata
Shule mnafungua lini?. Maliza shule kwanza, usituletee mambo za kina Baba Jose hapa.Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.
Sifa za mwanaume nimtakaye.
1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.
Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsanteeh
KabisaHaya ni wanaume kupenda mteremko, wanajigeuza wanawake wawapige washamba, huu ni mwandiko wa kiume...shtuka
Wakuachee mwayaa, wee tafuta hitaji lakoo, inshaallah utapataa.Kinacho furahisha ni wanaume kutoka maneno makali halafu mnakuja PM. Contradiction!!!!
PichaHabari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.
Sifa za mwanaume nimtakaye.
1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.
Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsanteeh
Kwanini sasa unajifanya ni mwanamke?Nipo Jf huu mwaka wa nne
Yeye hataki mvuta sigara,,,kwa hiyo kwa sisi Wala Khushh ruksaa!!U-Seventh Day umenikosesha waifu Matirio. Pia huwa from time to time navuta na Ganja plantae
Vigezo alivyoweka sina hata Kimoja, Ngoja tusubirie akifikia hatua ya kutaka mwanaume ilimradi tu awe anapumua tutajitambaYeye hataki mvuta sigara,,,kwa hiyo kwa sisi Wala Khushh ruksaa!!