Natafuta Mume

Natafuta Mume

Habari za humu JF

Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa

Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa Kiasi Ila si sana)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi ni mrefu Kiasi(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo

Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na watoto ni Sawa nitawapenda Kama Wangu, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu dm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Npo tiari lakin bila mim kujua chanzo chako cha kipato basi hata chanzo cha kipato changu hakiwezi kukuhusu
 
Njoo
Habari za humu JF

Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa

Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)

Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa Kiasi Ila si sana)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi ni mrefu Kiasi(wastani)

Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo

Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na watoto ni Sawa nitawapenda Kama Wangu, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu dm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Kwangu mchumba mimi wa Usangi je tutawezana?
 
Wee utanifaa. Sasa kabla sijaja pm niwe mkweli toka mwanzo. Mwenzio mie ni hiv+. Hilo mosi. Pili, upo tayari watoto wasome boarding ili mie na weye tuenjoy life, ada zao nitalipa mie bila wasiwasi. Tatu, biashara ya kuzaa hapo hamna na hwe tayari kuhamia nchi nyingine maana maisha yangu kumalizia hapa tz hapana kwa kweli.
Let me know and then we can start to know each other better
 
Back
Top Bottom