Natafuta Mume

Thought I was the only one who sees the bitterness masqueraded as 'truth' by the incels in here.

They are so oblivious, they think they're some kind of prophets🤣
Men boycotting Women, is just another sacrilegious and amateurish comedy.

Once you grow up, and understand how the FEMALE GENDER operates, you'll never hate them a single day. Women do what Women do best.​
 
Mungu akusaidie upate Mume bora kabisa
 
Kwanza pole kwa kufiwa, watoto watatu na inaonekana watakuwa wamefatana Tuliza akili lea wanao na Linda ulichoachiwa kwa manufaa ya watoto Kama walikuwa wanasoma shule za bei watoe kwanza ujipange!!

Ukijichanganya ukakutana na hawa wapaka mkongo wa sinza wakakukojoza watachukua mpaka hicho ulicho nacho.
 
Daah ulivyo andika kweli wewe unahitaji mume na hujakosea kwa kuwa kuolewa na kuolewa ni sehemu ya maisha na ni agizo la Mungu mwenyewe.
 
Umeshapata?
 
Mshangaz kwenye moja nambili
Nb: atakae fanikiwa ahakikishe mzazi mwenzake amefarik kwel nakaburi ameliona
 
Naumiza kichwa sana, bado kama siku 25 nidaiwe ada na hawa vijana 7 nilio nao; nikiongeza na hao wengine 3, nitakuwa chizi kabisa.

Bado msosi, mavazi, matibabu; halafu wakikuwa wakubwa, baba nakuwa kama simba dume aliyezeeka na kutimuliwa nyumbani.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…