Natafuta Mume

Weeeeee mwanaume wa 40yrs awe hana watoto kwel,, unasemaje 3-0
Mimi mbona nipo kwenye 70's na sina mtoto! Sema tu sina sifa. Umri wa mume mtarajiwa unatakiwa 40-55 yrs! Angeongeza umri wa kutuma maombi, ningepata watoto wangu 3 wa kuniita baba, kirahisi kabisa.
 
Ni mmamba?
 
Mkuu,
34 bado ni mwanamke mdogo sana, anataka upendo na sehemu ya kutuliza hisia zake. Unataka ashki zake amalizie wapi.
 
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Kuwa na hofu ya mungu ndo nini? Maana wewe ungekuwa na hofu hiyo ya mungu usingetafuta bwana wa kukuoa bali wewe ndo ungetafutwa. Ishi kwa Neno.

Soma walawi21:13-15

Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe 15asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.”
Mume wako alitwambia mashemeji zako akifa tukwambia usiolewe Nikifa MkeWangu Asiolewe
Ndivyo ilivyo mkuu kutafutwa bwana ni kwenda kinyume na maandiko na wosia wa marehemu.
 
Ukiona hivyo either mume amekufa kwa stress au mke kammaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…