Natafuta mume

Natafuta mume

briah

Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
14
Reaction score
3
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 44 natafuta mwenza, mwenye mapenzi ya kweli nina mtoto moja wa kike.Napenda mwanaume mwenye kujishugulisha iwe biashara au kuajiriwa, kama ana watoto wasizidi 2, kwa yule alie serious tu ani PM
 
ahahah wanaume wenye uumri huo wengi sana wako majumbani na ni nadra kupata wa umri huo kwenye mtandao...hata we kwakweli ongera unaenda na wakati....44 bado una browse ahahha bravo
 
Good luck mamii. Ila vumilia comment za watu zisikukatishe tamaa, muombe Mungu tu kukutana ni popote.
 
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
 
Kila la heri, itakuwa vizuri pia kama utaweka vimbwanga vyako husaidia katika kutimiza lengo kama hili.
 
kuna jamaa yangu ana miaka 23 anatafuta mke, yeye hana mtoto. vipi anafaa nikuunganishe naye?
 
Best hiyo si ndio kazi ya referees lol. Unapewa namba za maex 3, unawapeleka kwenye biya mnahojiana.
Kila la heri, itakuwa vizuri pia kama utaweka vimbwanga vyako husaidia katika kutimiza lengo kama hili.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 44 natafuta mwenza, mwenye mapenzi ya kweli nina mtoto moja wa kike.Napenda mwanaume mwenye kujishugulisha iwe biashara au kuajiriwa, kama ana watoto wasizidi 2, kwa yule alie serious tu ani PM

nimekupm mpenzi nikiambatanisha cv..
 
ahahah wanaume wenye uumri huo wengi sana wako majumbani na ni nadra kupata wa umri huo kwenye mtandao...hata we kwakweli ongera unaenda na wakati....44 bado una browse ahahha bravo

Wewe,humu sio fb na tweeter ambako wamejaa watoto. Humu kuna bibi na babu zako. Jaribu kufuatilia coments za watu ndo utajua huku sio kwa watoto. Just jiulize Andrew Nyerere ana miaka mingapi? Yuko humu na age mate wake kibao!
 
Back
Top Bottom