rashidforeseerer
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,000
- 440
Na pm kivip sasa wengine hatujui ku pm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzo wa thread alipoandika bi dada kwa chini kuna kibahasha kimeandikwa "SEND PM" pembeni yake kuna nyota ni kitufe cha reputation powerNa pm kivip sasa wengine hatujui ku pm.
Mm ni mdada nina miaka 29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikana pole.
Wasifu wangu:
Mrefu shape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde.
Dini: mkristo.
Elimu: degdree ktk sekta ya afya.
Sifa za ninaye mtafuta :
Mwanaume umri 30-32yrs
Mkristo,Mrefu, elimu kuanzia diploma. Please pm me kama uko serious. Mbarikiwe sana.

weka picha na mkiaMm ni mdada nina miaka 29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikana pole.
Wasifu wangu:
Mrefu shape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde.
Dini: mkristo.
Elimu: degdree ktk sekta ya afya.
Sifa za ninaye mtafuta :
Mwanaume umri 30-32yrs
Mkristo,Mrefu, elimu kuanzia diploma. Please pm me kama uko serious. Mbarikiwe sana.
Kama Unatafta Mume Kwa Masharti Utasubiri Sana Mpaka Uumpate Cha Msingi Wewe Fanya Yako Tu Siyo Lazima Kuishi Na Mwanaume
Mwanzo wa thread alipoandika bi dada kwa chini kuna kibahasha kimeandikwa "SEND PM" pembeni yake kuna nyota ni kitufe cha reputation power
weka picha na mkia
wacha kutisha wenzio!Mweeee!!!!!! naona huruma kwa kile kitakacho tokea. heee!!!! mmmhm