Maji Chai
JF-Expert Member
- Dec 8, 2018
- 265
- 362
[emoji28][emoji28][emoji28]comment 19 ndo huu mdau wa kubeti ushafatwa pm huko au badoNgoja nifikirie kwa kina.
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28]comment 19 ndo huu mdau wa kubeti ushafatwa pm huko au badoNgoja nifikirie kwa kina.
Kongole kwa maswali mazuri mkuu, niseme tu kwamba kuna mambo naepuka kuyaanisha hapa kwa sababu za maslahi lakini nitajaribu kukujibu kiufasaha hapa na pia nitajongea PM tuzungumze zaidi.Mkuu unatafuta muwekezaji JE,Muwekezaji atakuwa MMILIKI?Atamiliki percent ngapi?Je kama sio mmiliki utakuwa ni mkopo?Mkopo wa muda gani na masharti gani?Kusema tu ela itakuwa mara mbili haitoshi.Kuhusu mikatabansio tatizo tatizo ni masharti ya huo mkataba.
Mimi naweza kukupatia kiasi hicho cha PESA kwa makataba wa Mwezi mmoja dhamana iwe asset kama vile gari au kiwanja au nyumba na nitahitaji faida ya 10% kwa mwezi sio zaidi.Vipi Utayaweza hayo masharti?
Mzeya chukua mkopo huoKongole kwa maswali mazuri mkuu, niseme tu kwamba kuna mambo naepuka kuyaanisha hapa kwa sababu za maslahi lakini nitajaribu kukujibu kiufasaha hapa na pia nitajongea PM tuzungumze zaidi.
1.Naona umejikita zaidi kwenye mkataba na nikutoe hofu tu kwamba kama kutaonekana kuna haja ya kubadili, kuongeza ama kupungza kipengele chochote kwenye mkataba basi hakutakuwa na budi ya kufanya hivyo.
2.Muwekezaji anakuwa mmiliki ambae atakuwa na baadhi ya haki.
3.Kuhusu asilimia ni kwamba anakuwa anamiliki asilimia 46(46%) lakini hofu ipo kwa wasimamizi wa mkataba(serikali) kwa maana kwamba yawezekana suala la asilimia likawa na ukakasi kwao kwa sababu ya kukosa uzoefu ama uelewa wa kutosha na hivyo basi kiasi utakacho kuwa unakipata kama muwekezaji kitakuwa hakibadiliki(fixed) mfano wa mikataba ya boda boda na bajaj ilivo.
4.Kuhusu suala la mkopo ni kwamba kama kiasi hicho kinapatikana kwa mkupuo na masharti ni yenye ahueni basi naweza weka pembeni suala la uwekezaji na kwenda na mkopo.
Hahaha! husahau mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]comment 19 ndo huu mdau wa kubeti ushafatwa pm huko au bado
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Tuko tunayajenga PM mkuu kama tutafikia muafaka basi sitakuwa na budi kwenda na hili wazo.Mzeya chukua mkopo huo
[emoji28][emoji28][emoji28]comment 19 ndo huu mdau wa kubeti ushafatwa pm huko au bado
Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
Investor anaangalia kufanya pesa yake iwe mara 10 zaidi na kuendelea. Wewe unatoa ofa ya kuifanya iwe mara mbili tu. Kwa kiwango cha 3.5 million si investor unatafuta bali unatafuta mkopo. Unaweza kwenda kwenye taasisi ya mikopo ya karibu na wanaweza kukusaidia zaidi.Unaweza elezea zaidi boss
1.Suala la mara ngapi investor (muwekezaji) anataka pesa yake iwe ni jambo moja lakini jambo jingine ni kwamba mrejesho wa pesa ya muwekezaji unaisha/kuiva(mature) lini ndo haswa lenye uzito kwa sababu inawezekana pesa yako ikawa mara mbili ya kiasi ulichowekeza ndani ya muda mfupi sana ama ikawa mara 10 au hata mara 20 ndani ya muda mrefu.Investor anaangalia kufanya pesa yake iwe mara 10 zaidi na kuendelea. Wewe unatoa ofa ya kuifanya iwe mara mbili tu. Kwa kiwango cha 3.5 million si investor unatafuta bali unatafuta mkopo. Unaweza kwenda kwenye taasisi ya mikopo ya karibu na wanaweza kukusaidia zaidi.
nimekucheki PM naona kimya mkuu.Nicheki PM fasta
kama anapata 35,000 kwa siku inamaana kwa mwezi ni million 1 na 50kMzeya chukua mkopo huo
Naona uliamua kututambulisha ID yako nyingineFatilia hizi comments mtu anayekuja kucomment coment ya 19 mng’ang’anie anayo pesa na yupo radhi kuwekeza.. nakusisitiza usimuache mkuu akikoment tu mfate inbox moja kwa moja.. akikoment vyovyote vilee muendee inbox
Watanzania wamechoshwa na watu wanaokuja na lugha nzuri za kuvutia uwekezaji ukishaweka hela zako zinafuata dana dana mfano Mr Kuku QNet Jatu etc kwa hiyo sio kuwa ni wagumu Wana woga wa kupigwaWazo zuri ila watanzania kuwekeza ni wagumu sana
Ila kuwa mvumilivu watakuja wenye nia