Natafuta mwalimu wa martial art

Natafuta mwalimu wa martial art

Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka.

Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji.

Nilikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu ila sikuweza kuitimiza ijapokuwa umri umeenda niko tayari kujifunza . Muda wangu ni kuanzia saa tisa na nusu jioni mpaka usiku na weekend.

Niko tayari kujifunza kwa nidhamu ya hali ya juu sana.
Nakupa contact ila yupo dar
 
Nenda kigoma ujiji/kabondo kamtafute shekhe mzee ndani ya mwezi unakuwa fit
 
Nashinda huko huko ujiji, tena kazi yangu itakuwa nyepesi kabisa
 
Kwa nini usitumie YouTube kujifunza mwenyewe?
Ndugu yangu!

Ujifunze You tube tayari uwe na msingi wa kufahamu mambo yaani tayari uwe umeshajifunza. Kwa namna hiyo itakusaidia kupata baadhi ya technique.

Kwa sababu kuna mazoezi ya kuandaa viungo na kuvijengea uimara na uwepesi na umadhubuti.

Utafundishwa namna ya ngumi ukunje vipi na uirushe vipi na kwa uharaka au wepesi wa namna gani na nguvu ya ngumi inatokea wapi na kwa namna gani utaijenga.

Nguvu ya teke na linatokea wapi yaani kwa namna gani uukunje mguu na upige vipi! Na kwa kasi ya namna gani!

Hayo ni mfano mdogo tu ila kuna mengi!
Sasa kabla ya kufikia huko ni lazima mwili ujengwe kwa msingi mzuri wa mazoezi elekezi ya viungo.

Hata hayo mazoezi ili kuyahimili vizuri ni lazima muwekwe wawili ili ufahamu namna gani ya kuyatumia. Ikifika hatua fulani mnapambanishwa ili uonekane ulichofundishwa unajua kukitumia?!

Kwa ufupi na kwa haraka haraka inakuwa hivyo!
 
Ndugu yangu!

Ujifunze You tube tayari uwe na msingi wa kufahamu mambo yaani tayari uwe umeshajifunza. Kwa namna hiyo itakusaidia kupata baadhi ya technique.

Kwa sababu kuna mazoezi ya kuandaa viungo na kuvijengea uimara na uwepesi na umadhubuti.

Utafundishwa namna ya ngumi ukunje vipi na uirushe vipi na kwa uharaka au wepesi wa namna gani na nguvu ya ngumi inatokea wapi na kwa namna gani utaijenga.

Nguvu ya teke na linatokea wapi yaani kwa namna gani uukunje mguu na upige vipi!

Hayo ni mfano mdogo tu ila kuna mengi!
Sasa kabla ya kufikia huko ni lazima mwili ujengwe kwa msingi mzuri wa mazoezi elekezi ya viungo.

Hata hayo mazoezi ili kuyahimili vizuri ni lazima muwekwe wawili ili ufahamu namna gani ya kuyatumia. Ikifika hatua fulani mnapambanishwa ili uonekane ulichofundishwa unajua kukitumia?!

Kwa ufupi na kwa haraka haraka inakuwa hivyo!
Nakushukuru kwa mwongozo mzuri, na nitaufanyia kazi ila suala la mwalimu ni mhimu sana kwangu
 
Nisaidie connection nipate mwalimu hapa kigoma.

Shekhe nani na anapatikana msikiti upi ,ili usinipe namba nitamfuata mwenyewe face to face
Wewe kama unataka mwalimu wa martial arts na uko ujiji muulize mtu yoyote nataka kuonana na she mzee kiumbe au Dabasi kiumbe utapelekwa mpaka kwake
 
Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka.

Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji.

Nilikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu ila sikuweza kuitimiza ijapokuwa umri umeenda niko tayari kujifunza . Muda wangu ni kuanzia saa tisa na nusu jioni mpaka usiku na weekend.

Niko tayari kujifunza kwa nidhamu ya hali ya juu sana.
Walimu wapo wengi tu, wanakufuata mpaka ulipo, ungekuwa dar ningekuunganisha na mtu kwa mwezi laki moja tu.
 
Kwa nini usitumie YouTube kujifunza mwenyewe?

Kwa Kigoma mimi sifahamu ndugu yangu! Mimi ni mzaliwa wa Dar nimefundishwa hapa hapa Dar.

Shule niliyokuwa nasoma ilikuwa na hili somo la karate.
Kwa dar nisingesumbuka hivi ndugu,kuna master mfaume mfaume. Angemaliza kazi maana mpk kiwango cha malipo tulielewana sema mipango si matumizi nilikwama ruhusa ya mwajili kwenda masomoni. Ambapo ningegawa muda wa module na mazoezi. Pia. Hivyo kwa Sasa nimehamishiwa huku kikazi. Ndiyo maana napambana
 
Back
Top Bottom