feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Wasiliana na Muuza madafu yule wa ikulu,ukimpa dau zuri atakufuata ulipo.Nataka aliyepo manispaa ya kigoma ujiji. Boss ndiyo nakopatikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiliana na Muuza madafu yule wa ikulu,ukimpa dau zuri atakufuata ulipo.Nataka aliyepo manispaa ya kigoma ujiji. Boss ndiyo nakopatikana.
Npo hapa mwalimu wa mathematics!Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka.
Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji.
Nilikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu ila sikuweza kuitimiza ijapokuwa umri umeenda niko tayari kujifunza . Muda wangu ni kuanzia saa tisa na nusu jioni mpaka usiku na weekend.
Niko tayari kujifunza kwa nidhamu ya hali ya juu sana.
jamaa anadhan kila kitu cha kujifunza youtube. ana masihara na martial art.Ngumi huwezi kujifunzia You tube kamanda.
Nimecheza karate aina ya Shaolinji Kempo.
nani Kama best swordman Intelligent businessman, mleteni yoyote😂😁Wakorea wanakudanganya sana wewe jiroge uingir kwenye 19 za GunMan
Siwezi kuikana taaluma yangu.Huyu atakuw ni MWALIMU sasa anatak ajue kuzitupa mbili tatu ajitetee siku wanafunzi wakimtaitisha.
Nataka hiyo hiyo yenye mambo mengi kiongoziKwa umri huo why mkuu usicheze tu kick boxing? Sina uelewa saaana wa mambo haya ila nadhani kick boxing haina mambo mengi kama karate.
kama unataka Shotocan nenda ujiji huko kamuulizie Seif kavanga, na wenzie kina Mudi au Sheikh Maulid nadhani dojo lao liko jirani na gereji ya Saratoga
Ila kama unataka ngumi boxing nenda bangwe ukifika muulizie Issa au Juma, hao ni makocha na wawakilishi wa ngumi (ubondia) kigoma
Mbali na self defence lakini pia hiyo ni sanaa unayokaa nayo hadi uzee wako wote kwasababu unaweza kucheza baadhi ya kata ukiwa umekaa au hata kitandani na ikishindikana mwili kabisa unafanya hizo kata through meditation.Umri umeshaenda huo na hautaona faida wala manufaa ya huo mchezo, 😂😂😂
Safi sana TICHA.. pambana maana hawa Wazazi pmj na Wanafunzi wa siku hizi hawafai kabisa.Siwezi kuikana taaluma yangu.
Siyo kwa lengo hilo,saikolojia inatosha kusheka mambo sawa hatuwezi kufika huko??,mambo yataisha ki diplomasia.Safi sana TICHA.. pambana maana hawa Wazazi pmj na Wanafunzi wa siku hizi hawafai kabisa.
Unajifunza tena vizuri tu. Halafu mazoezi mengine unayatafutia kwa vibakaMkuu ujifunzie ngumi youtube? Labda unataka ugeuzwe punching bag
Angalizo; unakaa nayo hadi uzee kwa kuendelea kufanya mazoezi na si vinginevyo kama ilivyo kwa mafunzo mengine kama vile ya kitaaluma ambayo ukishahitimu na kupata cheti ndio mwisho.Mbali na self defence lakini pia hiyo ni sanaa unayokaa nayo hadi uzee wako wote kwasababu unaweza kucheza baadhi ya kata ukiwa umekaa au hata kitandani na ikishindikana mwili kabisa unafanya hizo kata through meditation.
Muangalieni hata Rais Putin na umri wake wote huo lakini bado hiyo sanaa anaitendea haki kisawasawa.
Kwa umri huo wa miaka 31 huyo bado kijana sana. Wapo waliojifunza wakiwa over 40
Nilijifunza karate nikiwa na miaka 40, Sasa hivi ukija bila gadi nagawa wastani kwa idadiUmri umeshaenda huo na hautaona faida wala manufaa ya huo mchezo, 😂😂😂
Unajifunza tena vizuri tu. Halafu mazoezi mengine unayatafutia kwa vibaka
Siyo kweliMiaka 31 siyo kijana we ni mzee tayari umeshaanza kupata maumivu ya mgogo huwezi kunyanyuka kwenye kiti bila kupiga kelele huku umekunja sura
Jifunze mbio tuHabari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka.
Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji.
Nilikuwa na ndoto hii kwa muda mrefu ila sikuweza kuitimiza ijapokuwa umri umeenda niko tayari kujifunza . Muda wangu ni kuanzia saa tisa na nusu jioni mpaka usiku na weekend.
Niko tayari kujifunza kwa nidhamu ya hali ya juu sana.