Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Huwa sielewi inakuwaje mwanaume anaweka tangazo la kutafuta mwenza(mwanamke) na hajasema anahitaji maoni ila kurupuuuu unakuta wanaume wanatoa maoni na kejeli. Au wengine ni wenzetu nini[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Huwa sielewi inakuwaje mwanaume anaweka tangazo la kutafuta mwenzi(mwanamke) na hajasema anahitaji maoni ila kurupuuuu unakuta wanaume wanatoa maoni na kejeli. Au wengine ni wenzetu nini[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
tunavumiliana tu mkuu si unajua tena kila mtu yuko huru hapa kuandika chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa sielewi inakuwaje mwanaume anaweka tangazo la kutafuta mwenzi(mwanamke) na hajasema anahitaji maoni ila kurupuuuu unakuta wanaume wanatoa maoni na kejeli. Au wengine ni wenzetu nini[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ndiyo mkuu Jael nami/si tunataka waje PM watuoe.
 
Back
Top Bottom