Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Habari JF

Nimeona vyema kuongea hapa kwa walio single basi tuelewane

Nina imani mke mwema anapatikana kokote tu. Haijalishi mtandaoni au mtaani, ile kasumba ya wanawake wa mtandaoni ni wasumbufu, sikubaliani nayo!

Mimi ni kijana wa miaka 25-30,
Nafanya kazi ya ulinzi tu, kwa hio kipato changu kiko fixed sana.
Laki 2 tu kwa mwezi
Mimi ni mrefu, mwembamba, sina kitambi wala sina mpango wa kuwa nacho

Nahitaji mwanamke atakaeweza kuwa nami tuendeleze maisha.

Mwanamke yeyote ambaye hataleta dharau juu ya kazi yangu wala mshahara
Mwanamke mvumilivu, mshauri mzuri na pia wife material.

Umri asizidi miaka 25

Mengineyo tutaelezana faragha

Tuwasiliane PM

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo namba T 982 AAA ni dm nikuunganishe kama anakufaa ni PhD holder ana kazi nzuri bahati mbaya hajajaliwa sura na shepu.
 
Back
Top Bottom