Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Nyie wenye pesa zenu, huwa wagumu kutawalika ukipata unachohitaji (mtoto/watoto) na penzi linaishaMimi nina 32 nlikua nahitaj mwenza pia nina ela zangu Wala mshahara wako sintaugusa kama utaweza njoo tuanze life
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata mimi namba siwawezi D hao ni wa RRONDO.
[emoji3][emoji3][emoji3]Yupo namba T 111 AAA ni dm nikuunganishe kama anakufaa ?
Hao wa namba D wanahitaji uwatapeli kwa maisha ya maigizo kujifanya unapesa mingi utawala kiulaini sana, maana wanapenda kudanganywa kwa sana
Niombee nisiwe kama hao huyu jamaa akafaid maishaNyie wenye pesa zenu, huwa wagumu kutawalika ukipata unachohitaji (mtoto/watoto) na penzi linaisha
Eti unanijua?
Imeshapita mkuuHappy belated birthday
Kweli ukiwa na kigari na unajua kupiga kimjomba mjomba unaweza ukawavua sana vyupi 🤣🤣🤣 kwa offer za hapa na pale.Hao wa namba D wanahitaji uwatapeli kwa maisha ya maigizo kujifanya unapesa mingi utawala kiulaini sana, maana wanapenda kudanganywa kwa sana
Ikibidi umuachishe na kazi na kila mwezi uwe unamlia hata 3M pocket money ya kulia bata na rafiki zake
Ila pia kakushtaki...kumbe ulishawahi kutafuta mchumba? Ulitaka kunireplce au?Ndio nimekujua leo, kasema tutafute chumba tujuane vizuri.
doooooWe mfuate kule PM umwage CV yako yawezekana ukawa ndiye chaguo lake
Wewe namba gani mpendwa maana naona mabaharia wanagawa namba.
Ila pia kakushtaki...kumbe ulishawahi kutafuta mchumba? Ulitaka kunireplce au?
Andaa chumba basi kisha unistue.
Kiafrika mwanamke atakiwi kulianzishaNjoo wewe
Unashangaa nn peleka CV PM, huu mwezi vijana wanataka kuowadooooo
Mbona unatoa siri zanguYupo namba T 982 AAA ni dm nikuunganishe kama anakufaa ni PhD holder ana kazi nzuri bahati mbaya hajajaliwa sura na shepu.
Acha kulala....pitia ID zote za kike zinazocomment na kulike.mpaka sasa PM ni kavu aisee
Jaman hamjapenda kazi yangu?
au mshahara wa laki 2, hautakidhi mahitaji?
mwanamke yeyote atakaependa basi tuwasiliane.
namba ya simu nitaiweka pm only
Sent using Jamii Forums mobile app