Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Yes mkuu, hapo umeanza kunielewa sasa. Sihitaji uhusiano serious au permanent maana huo ninao, ila tu mtu ambae nitakua napunguziana nae upweke na mihemko ya hapa na pale. Nothing serious.
Costs za hayo mambo nitagharamia, nisichotaka ni zile gharama za kila siku mtu anakuomba hela ya kula, sijui ya gesi, mara ya kusuka
Overhead Costs ndio huzitaki zile 😅😅😅 gharama za pasua kichwa
 
Mchumba tumeongea wapi? Mi mbona sijahangaika hata kuingia kwenye hiki kinyang'anyiro make mi ni tegemezi full... hicho kigezo kimeniondoa
Mtegemezi full hapana kwa kweli. Mimi nataka wa kuegeshana nae tu. Tunaemjoy maisha, gharama za hapa na pale sio ishu, ila utegemezi full, no.
 
Na kutokua na chuchu saa 6 inaleta shida, wanadai eti mwanamke kama hana hizo saa 6 asikae juu wakati wa kuchangamshana make wanaume wamechoka kupigwa makofi
Ukilala ubavu sasa uwiiii majanga, kifo cha mende kila titi linaangukia upande wake. Ni wazee wenzetu tu wanatuvumilia
 
Legeza vigezo basi.....
Mtu mweyewe unatafuta tu wa kukupunguza nyg ila mashart kibao kama wataka mke, legeza mashart wawekezaji tuwekeze.
Mchumba permanent yuko tayari ambae ndo mke mtarajiwa, huyo anahudumiwa. Ila wa kupunguziana stress lazima makubaliano yawe clear
 
Back
Top Bottom