Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

nilimwendea na ile ID yangu naona anatoa toa macho tu
Mie nimesema hapa, huyu sio muhitaji.
Ni janja janja tu bhana.
Mie mwenyewe japo kilometa zimeenda ila nimejilipua kwa ile ingine, naona kimya.
Au anatufungulia uzi kimya kimya?
 
Mie nimesema hapa, huyu sio muhitaji.
Ni janja janja tu bhana.
Mie mwenyewe japo kilometa zimeenda ila nimejilipua kwa ile ingine, naona kimya.
Au anatufungulia uzi kimya kimya?
tuendelee tu na wale wa kuja pm kimya kimya
 
Loh ndo inakuaje
Ukifika, akikukubali....
Anakuwekea salio lako lote kwenye simu.
Wewe kazi yako ni kujituma tu kwa bed na kubana vichenchi vya sokoni huku ukijua salio liko sehemu salama.
Ila ukisubiri malipo siku ya kuondoka...unaweza ulie na kusaga meno.
Unamaliza style zote mpaka za mumeo mtarajiwa, afu unaambulia laki moja.
Haihuu....anaweka mpunga mezani, mnamalizana kibingwa.
 
Basi we mwenzangu matawi ya juu. Upewe laki??? Mtu upo nae miaka na miaka mnaondoleana stress utaishia kupewa 20 au 30
 
Basi we mwenzangu matawi ya juu. Upewe laki??? Mtu upo nae miaka na miaka mnaondoleana stress utaishia kupewa 20 au 30
Hiko ndo kitu sikitaki amwali.
Ina maana jamaa akutumie wiki kadhaa, na hivo uko ndani kwake anakupelekea moto...unatii tu.
Lazima mpunga mrefu uhusike.

Unamkumbuka yule jamaa wa Ara,
Aliweka dau la mil kadhaa.
Katuma nusu, akaambiwa huyo demu sio haji ng'o (jf kuna wambea) akanambia nimrudishie pesa.
Weeeeee....nikamwambia imeisha hiyo.
Nilikuwa nasubiri arushe yote..nimfurahishe ili tupunguziane dhambi
 
Tena ni mtu wa kudumu sio mpita njia woi siku hizi namwangalia tu anajisemesha semesha na mie naweka sura ya mbuzi Kama sielewi vile. Nashukuru sina tena mzuka wa hayo makitu
 
Tena ni mtu wa kudumu sio mpita njia woi siku hizi namwangalia tu anajisemesha semesha na mie naweka sura ya mbuzi Kama sielewi vile. Nashukuru sina tena mzuka wa hayo makitu
Hongera kwa kumpata wa kukufanya usipate mzuka.
Me hata baba mtoto wangu, akitaka game....ni lazima anigharamikie kama vile anaanza kunitongoza upya.
Lazima atume nauli...na ya kutolea.
Kama hataki, tutakutana clubs.
 
Loh wewe ni shida😀
 
Basi sisi wa mkoa ngoja tupite kwa kunyata....🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🦵🦵🦵🦵🦵

Yeah, kujilipua muhimu.
Me nishajilipua sana Demi,
Na nishakoswakoswa na mikuki na mafumanizi kibao kwa hao masponsa wa Pm
Njoo basi ujilipue Madame B mimi niko serious ujue.
 
Ndio mkuu. Yaani we have fun,gharama ya fun nailipia sio ishu, ila isiwe tena anaanza vibomu mara leo gesi imeisha, kesho kodi imeisha, keshokutwa hela ya kusuka. Such stuffs zinakera. Ila kumpa support hapa na pale sio ishu.
Wazi imesomeka watakuja
 
Back
Top Bottom