Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Acha kutukosesha fursa weweMungu atusaidie watanzania sijui Nani katuloga, hivi kweli Jambo Kama hili unaleta mtandaoni kweli!!
Lakini je ! Hizo pesa hina pa kuzipeleka ?, Mbona watoto yatima wanahitaji hata mtu wa kuwapa 200 kwa siku na wanakosa? Lakni je umeshindwa kuoa au kumiliki ndoa yako? Kama sio shetani anakusumbua Nini hiki looh!!!!