Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Tatizo ni Mindset ,Umeweka fikra zako sana kwenye ngono ,hiyo miezi mitatu ni rahisi kuvumilia,ukitoka kwenye shughuli zako jitahidi kufanya mazoezi ya kujichosha,muda ambao upo idle jitahidi kwenda kuangalia mpira uwanjani ,fanya mazoezi ya jogging/kukimbia....Ukikaa idle idle ndio mawazo ya ngono yanakuja.....Utakuja kupata maukimwi na kwenda kumpa mpenzi wako huyo wa mwanza.
 
Ahsante kwa ushauri mkuu, japokua umenilaumu pia kwenye ushauri wako.
Is not easy mkuu kwa mwanaume rijali aliekamilika na anaeshiba vizuri kukaa miezi mitatu bila kufanya ngono. Wewe mkuu umewahi kukaa miezi mitatu bila kufanya ngono? Ni mtihani sana mkuu.
UKIMWI ma condom yapo mkuu nitayatumia.
 
Ndio mkuu. Yaani we have fun,gharama ya fun nailipia sio ishu, ila isiwe tena anaanza vibomu mara leo gesi imeisha, kesho kodi imeisha, keshokutwa hela ya kusuka. Such stuffs zinakera. Ila kumpa support hapa na pale sio ishu.
Hayo pekee ndiyo yamekufanya kuishi bila mke.
Choyo ni kilema kama hujui.
 
Hayo pekee ndiyo yamekufanya kuishi bila mke.
Choyo ni kilema kama hujui.
Mchumba yupo mkuu huyo ndo permanent, namhudumia kwa yote hayo na zaidi, shida yuko mbali na nilipo.
Hapa natafuta wa kupunguziana nae stress tu.
 
Back
Top Bottom