Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

Sawa ila uctukane mamba wakat hujavuka mto. kama unamthamini hvyo tuliza dushe piga bao la mkono
Bao la mkono linachosha sana mkuu.
Ndio maana nimeomba nipate usaidizi kwa atakaekuwa tayari. Ishu ni maelewano tu.
 
Hakuna kukoleana mkuu. Ni kutulizana mihemko tu basi. Kwa sababu mimi nina mtu wangu permanent huyo siwezi kumuacha asilani!! Sema tu changamoto ya umbali kwa sasa inanifanya niwe mpweke maana kuonana labda ni mara moja kwa miezi mitatu. Muda wote huo hapo katikati nahitaji mtu wa kutuliza hii mihemko.
No strings attached
Sasa mkuu huoni kuwa unakuwa Unfaithful to your partner? Hujishtukii[emoji23], halafu hizi ishu si ni za kimyakimya... What if paaap paap mtu wako anasoma huu uzi anakuchora? Utaambia nini watu kikiumana
Hatukatai kila mtu ana mihemko lakini umeshapima Consequences zake huko mbeleni
 
Sasa mkuu huoni kuwa unakuwa Unfaithful to your partner? Hujishtukii[emoji23], halafu hizi ishu si ni za kimyakimya... What if paaap paap mtu wako anasoma huu uzi anakuchora? Utaambia nini watu kikiumana
Hatukatai kila mtu ana mihemko lakini umeshapima Consequences zake huko mbeleni
Huoni ID ni mpya mkuu? Mtu wangu permanent hajui hata JF ni nini, na pia hata akiijua JF, hajui kama mimi naperuzi humu na natumia ID hii.
 
Habari wana JamiiForums.

Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke.

Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye exposure juu ya masuala mbalimbali. Mimi ni mpweke sana na mara nyingi huwa nakosa company.

Nahitaji mwanamke ambae anaweza kunipa company na pia tukawa tuna enjoy na pia kuliwazana. Sitafuti mahusiano ya muda mrefu, bali kupeana raha na company tu hapa na pale. Awe na umri wa kati ya miaka 19-33.

Tutapima magonjwa kama HIV, magonjwa ya ngono kabla ya kufanya chochote.

Check me PM tudiscuss zaidi kama una interest, na kama tutaelewana basi mengine yatafuata.
alma mudee
 
Back
Top Bottom